Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Anajua nguvu ya umma wa kibongo ni boya tu, wakitishiwa kipigo cha mbwa koko wanaufyata.Nimeona post moja anasema atapita tu hata watu wasipompigia kura, kwa kweli magu hatambui nguvu ya umma inaweza kufanya nini, tusubiri.
Zama zimebadilika Nani wa kutisha hao watishaji ndo wamechoka balaa hawana hamu 5yrs bila bila.Walaumu upole wa wananchi ndo uwaangushaAnajua nguvu ya umma wa kibongo ni boya tu, wakitishiwa kipigo cha mbwa koko wanaufyata.
Hazina control number hazikaguliwi zinaenda wapiKatapeli mpka maskini halafu kwenye majukwaa anajiita rais ya maskini,pesa za vitambulisho kalaView attachment 1577204
Mkuu wewe si ni mfuasi wa Lissu? Si ungekuwa unafurahi kwamba anapoteza kura na Lissu anaongeza? Au machale yamekucheza kuwa Magufuli anaongea kwa kujiamini as a real President!!??Ninachojua mimi kura ni siri ya mpiga kura, kura ni haki ya mpiga kura, kura sio haki ya mgombea kuwa ataidai kwa lazima, kuwa asipopigiwa atawaadhibu wapiga kura.
Mgombea wa CCM anadhani kupigiwa kura ni haki yake analazimisha, anawafokea wapiga kura na kuwatisha.
Naomba Magufuli ajifunze kwa watangulizi wake walivyo kuwa wanafanya kampeni, Mwinyi hakuwa hivyo, Mkapa pamoja na ubabe wake lkn alijishusha, Kikwete ndiyo kabisa hadi chini alikaa, si kwamba hawakuwa na mamlaka yote kama yake lkn walikuwa ‘humble’, walikuwa karibu na wapiga kura wao.
The meaning of campaign is to maximize the little you have, even a single vote counts.
Unapomfokea mpiga kura unapomtisha kuwa hutamletea maendeleo, maana yake ni nini, hata kama alikuwa amepanga kukupigia kura anaweza kusita, atajiuliza kama hata kabla ya kumpigia ananitisha namna hii, je nikishampigia na akiwa na uhakika wa kura yangu si ataniumiza zaidi.
Magufuli ajue kura ni siri, akumbuke wapiga kura ni wajumbe sio wa kuwaamini sana kwa 100%, leo wanaweza kukwambia tuko pamoja lakini siku ya trh 28 Oktoba wakakushangaza.
Wewe ni mpumbavu tena ni lofa kabisa.Mimi na wewe nani mpumbavu...
Subiri kipigo 28 oktoba.
Subiri kipigo 28 oktoba.Licha ya yote
"Watanzania ,Wana cm tungane pamoja tarehe 28 oct, tuna Jambo letu.Ninachojua mimi kura ni siri ya mpiga kura, kura ni haki ya mpiga kura, kura sio haki ya mgombea kuwa ataidai kwa lazima, kuwa asipopigiwa atawaadhibu wapiga kura.