Dkt. Magufuli anaweza kuiacha miradi ya SGR na STIGLERS haijakamilika, tafadhali Tundu Lissu uimalizie

Dkt. Magufuli anaweza kuiacha miradi ya SGR na STIGLERS haijakamilika, tafadhali Tundu Lissu uimalizie

Prof Koboko

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
350
Reaction score
2,550
Najaribu kupima upepo wa siasa katika makundi ya kijamii kuanzia CCM wenyewe wengi hawampi Magufuli kura ingawa wanamchekea dharani, Makundi ya wafanya kazi, Wakulima na Wafugaji, Wavuvi na wafanyabiashara hakuna aliye tayari kuipigia CCM kura. Tunakutana nao mtaani hali hali ndivyo ilivyo sioni wa kumpigia kura Magufuli hapa.

Kuna mahali Rais wangu Magufuli ulishauriwa vibaya sasa unaweza usirudie Ikulu akaingia mzipnzani wako. Waliomsjauri vibaya Rais huenda mpaka sasa yupo nao na hawana ufundi wowote wa kisiasa na ndio wao chanzo cha kifo cha CCM.

Tunamuomba Tundu Lissu endapo kwa majaaliwa ya Mwenyezi Mungu akawa Rais, hii miradi ni mikubwa sana imalizike maana pesa ishatoka na wala asiwe na roho ya kisasi.Mungu ampe roho ya uvumilivu kuweza kuvumilia waliokua wabaya wake, kwa vile ni nguli wa sheria basi atatekeleza kwa kufuata katiba vyema.

Hata kama serikali haitogharamia hiyo miradi basi atafute hata wafadhili wenye uwezo waweze kumalizia. Rais atakakua mstaafu asiwe na kinyongo amekabidhi hiyo miradi mrithi wake.
 
Kwa utafiti upi uliofanya tambua JF ni smolo platifomu tupo wapiga tusioweza kuakisesi JF na ndio tutawashangaza oct 28,Maki mai wedi.
 
Back
Top Bottom