Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

Wagombea wote wana kasoro zao.
Kama wewe ni mtu wa Jpm sikiliza kampeni za tl ili ugundue mapungufu yake na kama mtafanikiwa kwenye uchaguzi hayo ndiyo mambo ya kurejebisha. Halikadhalika kama wewe ni mtu wa tl.
 
Namuelewa Magu ila Statement ya kwamba hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya Upinzani, inamuondolea uzalendo ambao umeusema hapo; Sina hakika kama unamjua mtu Mzalendo vizuri.
Halafu hayo majimbo ya upinzani kwani hayana wana ccm huko?
Haoni kuwa anakuwa anawakomoa hata ccm wenzake wanaoishi kwenye majimbo hayo?
 
Haoni kuwa anakuwa anawakomoa hata ccm wenzake wanaoishi kwenye majimbo hayo?
Kabisa Mkuu; Ijapokuwa kauli zake ni za kisiasa hazina Madhara ya Moja kwa moja; Moshi na Karatu ni Sample ya Majimbo ambayo Tangu Mfumo wa vyama vingi uanze Hayajawahi kuchukuliwa na CCM;
Lakini Kongwa, Mtera, Buchosa, Kishapu ni majimbo ambayo Tangu Mfumo wa vyama vingi uanze hayajawai kwenda upinzani;

Lakini ninyi nyote ni mshahidi humu, fanya comparison ya majimbo hayo Moshi/karatu vs Kongwa, Mtera, Buchosa, Kishapu utafahamu kwamba hiyo kauli anayoisema haina Mashiko kabisa.
 
Kama utabahatika uibe kadi yangu ndio Pombe atapata kura yangu.

Mihemko ya NYAKWENYU.
Mkuu mimi najua unachangansha jukwaa tuu hapa nani asiyetaka kuona Mzalendo JPM akiongoza nchi hii ili kuchochea kasi ya MAENDELEO.

October 28th kura yako Mkuu ni MUHIMU SANA mpigie kura ya ndio JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Poyoyo mbona unapopoma sana? Tulia wacha kupaniki, Sasa Hutaki akaombe kura Mtwara?
 
Anastahili matusi yote ndiyo ajue jinsi Watanzania tunaojitambua tunavyomchukia kwa udikteta na maovu yake ya kutisha kwa miaka mitano sasa.
Kaambulia matusi, nimecheka leo mpaka basi, kama atakua amesoma zile replies basi naamini leo atarudishwa gereji kwenye matengenezo
 
Nyie siyo wazalendo, ni wachumia tumbo mnaotetea maslahi yenu
Acha hizo Mkuu hebu tujumuike katika kumpa kura za kishindo JPM.

October 28th wewe,yeye,yule na mimi tukampe kura za kishindo mpaka wapinzani waweweseke.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Sisi watumishi tutamchagua Magufuli tena kwa kishindo.

Lissu atachaguliwa na waliofaidika na ufisadi na mnyororo wa ufisadi ambao na wale wa vya BURE SYNDROME.
Ninyi watumishi! Au wewe mtumishi?
Utawapangiaje watu wengine maamuzi yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…