Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Out of how many?Si walisema twitter hakuna wapiga kura! Hatutaki kuongozwa kama mifugo! Lissu ndio habari ya mujini
Huoni mnaojibu na kujibu ni nyie nyie!MATAGA mkuje mtuambie tangu lini kwenye mitandao kumekuwa na wapiga kura? Kila siku mnasema JF, Tweeter, Fb hakuna wapiga kura kuna wapiga kelele!?
Nilichogundua wanachama wa ccm mnampenda jpm kwenye raha kwenye shida hamko nae ,hata kumjibia mapigo kwenye mitandao ya kijamii mnashindwa, siku za mbele ccm itaibidi kusajili upya ,na jpm analo la kujifunza kwa wanaccm,that niliwai andika hum jpm hakutakiwa kugombea mwaka huu pitia ccm ingetosha kuja na kauli mbiu ya NIMEOKOKA TOKA CCM na kwa kupitia chama chochote Cha upinzani asingepata tabu Sana,watu wangemuelewa haraka Sana ,ila wakati natoa wazo hili wenda nilionekana Kama kichaa,na ndo kipindi wanaccm wanasema ushindi nje nje na wakati huo niliwambia uchaguzi mkuu sio Jambo dogo mtapigwa mtiti mpaka mtafutane.Amini msiamini mnaomchukia JPM kwa sasa mnajitahidi kutafuta faraja japo muuburudishe moyo wenu hata kwa sekunde kadhaa. Lakini ukweli unaufahamu fika kubwa mh.JPM anapendwa na kukubalika na watanzania kuliko mgombea urais yoyote TZ. Poleni sana JPM kawakosea nini hadi mumchukie? Au ndio zile fasheni za ki Libya. Toeni tongotongo hakuna mtu ataekuletea pesa mfukoni.
MAGUFULI4LIFE.
JamiiForums sasa hivi hata uki-post uzi hauonekani kwa members wengine mpaka kwanza upitiwe na moderator.Hili jambo linatia uvivu hata kuanzisha mada.Sijui wametishwa!Ndiyo sababu Twitter inazidi kuwa maarufu sana kwa Watanzania kwani uhuru wa kule hakuna tena. Yule kigogo serikali ilimchomea afungiwe na akafungiwa lakini wabongo hawakukubali wakaiandikia Twitter kwa wingi kwamba hajatenda kosa lolote na Twitter wakawaelewa Wabongo hivyo Kigogo akafunguliwa. Sikuwa kufikiria kwamba kuna mtandao utakuwa kipenzi cha Watanzania kama JamiiForums lakini kwa uhuru uliokuwepo kule Twitter nadhani kwa kasi hii Twitter inaweza kuwa maarufu zaidi kuliko JamiiForums.
Kamanda acha kutufariji wakati tuna hali mbaya.Nyomi la Meatu limefanya Wanaccm waanze kutafuta mchawii😁😂🤣
Sasa kama anapendwa kuliko mgombea yeyote Tz kwa nini uamini kuna wanaomchukia? Akili za mbuzi buana[emoji16][emoji16]Amini msiamini mnaomchukia JPM kwa sasa mnajitahidi kutafuta faraja japo muuburudishe moyo wenu hata kwa sekunde kadhaa. Lakini ukweli unaufahamu fika kubwa mh.JPM anapendwa na kukubalika na watanzania kuliko mgombea urais yoyote TZ. Poleni sana JPM kawakosea nini hadi mumchukie? Au ndio zile fasheni za ki Libya. Toeni tongotongo hakuna mtu ataekuletea pesa mfukoni.
MAGUFULI4LIFE.
ila kumpend Wakili wa naniii sio umalaya? mzee umebwana sana kwenye dili zako??Ni malaya wa kisiasa tu anaweza kusema haya!Angekuwa anapendwa anatumia Polis na NEC kupata ushindi?
JamiiForums sasa hivi hata uki-post uzi hauonekani kwa members wengine mpaka kwanza upitiwe na moderator.Hili jambo linatia uvivu hata kuanzisha mada.Sijui wametishwa
Akili zikuruke mara ngapi, hapo ulipo ni kichaa kama Kamanda Lissu!Kumpa kura Magu,labda niwe nimerukwa na akili!
Poyoyo mbona unapopoma sana? Tulia wacha kupaniki, Sasa Hutaki akaombe kura Mtwara?
Usipanik Bro..
Hata Gobershov alijenga viwanda , lakini huku akizorotesha nguvu za USSR Kijeshi, Usalama na Umoja kama taifa ....so hivyo vitu sio substitute ya uhai na uimara wetu kama taifa hasa UMOJA ...sasa ukishapanda ubaguzi kwenye nchi hivyo vitu ..vina msaada gani .
ALAFU BRO UMEJIBU MOJA TU...Hayo muhimu ya kuzembea makusudi kugharamia utunzaji wa mifumo yetu ...nadhani pia umeona lakini kwakua unajua nini kinaendelea umeamua hilo usiongelee kwakua ndio ukweli .
MSICHEZE NA HUKO BRO , WAZALENDO WANA UCHUNGU .....
kweli sisi ni wa kuchinjwa kama kuku na watoto wadogo ....wakati vifaa vipo lakini havina msaada kwakua havina matunzo ......
BRO utapata wapi uweledi na utimamu kama vijana wakienda KOZI wanalipishwa 'ADA" hakuna nchi inafanya hivyo hata wakati mgumu sana kwenye nchi yetu baada ya mwalimu kutoka akaingia mwinyi haijawaji kutokea Askari wanalipishwa kwenda mafunzoni ...tena sana wanalipwa ..
Mnategemea hao ndio mtakaowaamini kukabiliana na jambo lolote .....hamasa iko chini sana ....umeona lini uchaguzi unafanyika hawana vifaa na magari mapya ....msicheze na usalama wa nchi .
Magufuli will win this election with very many votes because Tundu Lissu supports gays we are not ready to have a president like Tundu Lissu maybe he can go to to be president maybe in Belgium but not here
Sema atapigiwa kura na wachumia tumbo wasiojitambua.wao matumbo yao ni zaidi ya taifaWazalendo na wapenda maendeleo ya Tanzania tutamchagua JPM kwa kishindo.
October 28 kura zote za ndio ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA