Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

Unampenda wewe lakini ukimuuliza mumeo na wanao wana mawazo tofauti kabisa.
 
Watanzania kwa umojawetu tutamchagua JPM kipenzi chetu.
 
Atapigiwa kura na bombardier na flyover. Habari ya mjini kwa Sasa ni Tundu Lissu.
Hahahahaaaa mirija imekatwaa
Tutamchagua kwa kishindo kikunwa Sana 98 percent NI za Magu
Huyo kibaraoa wenuu atapata 1percent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…