Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

Tarehe 28/10/2020 itakuwa ni kura kati ya haki na dhuluma sasa kila moja ataamua ni ipi inamfaa. Mimi nitachagua haki, wewe uko upande gani??
 
Kabisaa
 
Majibu aliyopewa sasa kule Twitter ndiyo utajua ni kiasi gani huyu anachukiwa.

View attachment 1601637

Kura zake nyingi zitatoka kwa wasiotumia twita japo pia wapo watakaompa.
Naona hilo ombi linavyopokelewa vizuri na kwa shangwe kule Instagram, fesibuku na kwenye status za watu wassapu
 
JPM 4life amekuwa mmeo huyo
 
Wazalendo na wapenda maendeleo ya Tanzania tutamchagua JPM kwa kishindo.

October 28 kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hata upande wa pili pia ni wazalendo na wanataka maendeleo lakini pia wanataka HAKI na UHURU. Hawa kura zao ni kwa Tundu Lissu. MITANO KWANZA.
 
Yaani nimecheka hahaha yaani tunamchukia at the same time tunampenda sana duhh hii mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…