Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

Naona kama tarehe 28 October 2020 inachelewa nimfyekelee mbali huyu kandingara mhutu.
 
Basi wasaka teuzi na waramba viatu ni wengi sana hapa tz maana Magu atapigiwa kura na kupata 80%
Ni kweli atapigiwa kura maana Jpm amewanfanyia mema makundi mengi, mfano ameyalinda maduka ya kubadilishia fedha na fedha zao zipo salama,,familia ya Mzee Gwanda inamshukuru sana kwa wema aliowatendea, Wafanyakazi wanashangilia, wastaafu wanamshukuru sana, wakulima hasa kusini wanashangilia,waliosoma kwa Mkopo elimu ya juu wanashangilia kwani kutoka 15% hadi 3% ya sio mchezo, watu hawajatekwa sana kipindi hiki, kwa kweli watampigia kura,,
 
Tunamshukuru kwa utumishi wake, Ila tumkumbushe kuwa kama alivyo yeye kutokupangiwa kitu nasi wananchi kwa kutuomba kura ni kama kutupangia bora angenyamaza.
 
Ni malaya wa kisiasa tu anaweza kusema haya!Angekuwa anapendwa anatumia Polis na NEC kupata ushindi?
 
Mimi simkubali hata kidogo Kama unampenda ni wewe ila watanzania wote wanajielewa hawapendi killer
 
Akitaka angalau apate kidogo anatakiwa aweke wazi kuhusu genge la watu wasiojulikana ni kina nani na wanadhaminiwa na Nani na wahisika watiwe mbaronii na warudishwe wote waloshikiliwa na genge hilo na hata waliuwawa wapatikane familia zao ziende kuzika zenyewe zaidi ya hapo tutaendelea kumtafsiri Kama muuaji.
 
Ni malaya wa kisiasa tu anaweza kusema haya! Angekuwa anapendwa anatumia Polis na NEC kupata ushindi?
Magufuli will win this election with very many votes because Tundu Lissu supports gays we are not ready to have a president like Tundu Lissu maybe he can go to to be president maybe in Belgium but not here
Mungu wangu !Ungeandika kiswahili! Lakini hata kiswahili hujui kuandika vizuri
 
Nreteeeeeniiii GwajimaaaaaaaaAAAAAAA!! (Au mpaka nivue nguo ndo mtajua mashuatani yamepandaaa!) reteeeeeeeeeniiiiiiii GwajimaaaaaaaaAAAAAAAAA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…