Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao inzi wa kijani hawajitambui.Kuaribu mali zawatu unaitwa uzalendo kilakitu tumefeli watz bana eti uzalendo
kingreza kama cha Magu, ama kweli ndege wafananao huruka pamoja!!!.Magufuli will win this election with very many votes because Tundu Lissu supports gays we are not ready to have a president like Tundu Lissu maybe he can go to to be president maybe in Belgium but not here
Ni kweli atapigiwa kura maana Jpm amewanfanyia mema makundi mengi, mfano ameyalinda maduka ya kubadilishia fedha na fedha zao zipo salama,,familia ya Mzee Gwanda inamshukuru sana kwa wema aliowatendea, Wafanyakazi wanashangilia, wastaafu wanamshukuru sana, wakulima hasa kusini wanashangilia,waliosoma kwa Mkopo elimu ya juu wanashangilia kwani kutoka 15% hadi 3% ya sio mchezo, watu hawajatekwa sana kipindi hiki, kwa kweli watampigia kura,,Basi wasaka teuzi na waramba viatu ni wengi sana hapa tz maana Magu atapigiwa kura na kupata 80%
Wewe ni mccm Chadema hatuna watu modeli yako.Kuomba kura twitter ni kosa ulimwengu wa kidigital? Ishu ni kuanza kuanza kuchukua majibu kama ndio ushahidi hapendwi. Tumia akili mwanaCdm mwenzangu
Usiwe mtu usiependa ukweli,utaumia.Wewe ni mccm Chadema hatuna watu modeli yako.
Ni malaya wa kisiasa tu anaweza kusema haya!Angekuwa anapendwa anatumia Polis na NEC kupata ushindi?Amini msiamini mnaomchukia JPM kwa sasa mnajitahidi kutafuta faraja japo muuburudishe moyo wenu hata kwa sekunde kadhaa. Lakini ukweli unaufahamu fika kubwa mh.JPM anapendwa na kukubalika na watanzania kuliko mgombea urais yoyote TZ. Poleni sana JPM kawakosea nini hadi mumchukie? Au ndio zile fasheni za ki Libya. Toeni tongotongo hakuna mtu ataekuletea pesa mfukoni.
MAGUFULI4LIFE.
Mzalendo muuaji ni mzalendo wa namna gani? Kura nyingi kwa Lissu.Hakuna namna Mkuu kura yako ni muhimu tafadhali October 28th kura zote za ndio ni kwa Mzalendo wa kweli JPM.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Mimi simkubali hata kidogo Kama unampenda ni wewe ila watanzania wote wanajielewa hawapendi killerAmini msiamini mnaomchukia JPM kwa sasa mnajitahidi kutafuta faraja japo muuburudishe moyo wenu hata kwa sekunde kadhaa. Lakini ukweli unaufahamu fika kubwa mh.JPM anapendwa na kukubalika na watanzania kuliko mgombea urais yoyote TZ. Poleni sana JPM kawakosea nini hadi mumchukie? Au ndio zile fasheni za ki Libya. Toeni tongotongo hakuna mtu ataekuletea pesa mfukoni.
MAGUFULI4LIFE.
Hatari.Kule twita watu wana majibu ya hovyo sana.
Hawajawahi kumuacha mtu salama.
Ili azidi kuua watu kupitia genge lake la wasiojulikana?Mitano mingine kwa magufuri
sent from HUAWEI
Siwezi kuumia kwa vimaneno vya mataga.Usiwe mtu usiependa ukweli,utaumia.
Ni malaya wa kisiasa tu anaweza kusema haya! Angekuwa anapendwa anatumia Polis na NEC kupata ushindi?Amini msiamini mnaomchukia JPM kwa sasa mnajitahidi kutafuta faraja japo muuburudishe moyo wenu hata kwa sekunde kadhaa. Lakini ukweli unaufahamu fika kubwa mh.JPM anapendwa na kukubalika na watanzania kuliko mgombea urais yoyote TZ. Poleni sana JPM kawakosea nini hadi mumchukie? Au ndio zile fasheni za ki Libya. Toeni tongotongo hakuna mtu ataekuletea pesa mfukoni.
MAGUFULI4LIFE.
Mungu wangu !Ungeandika kiswahili! Lakini hata kiswahili hujui kuandika vizuriMagufuli will win this election with very many votes because Tundu Lissu supports gays we are not ready to have a president like Tundu Lissu maybe he can go to to be president maybe in Belgium but not here