Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

MATAGA mkuje mtuambie tangu lini kwenye mitandao kumekuwa na wapiga kura? Kila siku mnasema JF, Tweeter, Fb hakuna wapiga kura kuna wapiga kelele!?
Wapi kasema wa mtandaoni wa mpigie kura kwenye hilo tangazo?

Tangazo waweza liweka popote kwenye mti,kwenye ukuta,Kwenye Gazeti,FACEBOOK,TWITTER au popote.

Yeye kabandika Tangazo
 
Kabanwa vibaya
Thanks Thanks Kaka...JPM for every One..hawataki bas wahame inchi.
 
Whatever the case,Magufuli will be entering the palace any time after the so called election.
I'll agree with you if and only if this Election won't be FREE&FARE...!!!
If that is the case..."Whatever the case..." Just quoting thy words....!!!
Consequences are there to be faced by Magufuli and his party CCM!!! Stay tuned✌️✌️✌️
 
Hivi uchaguz ni siku gani ?
 
Ikifika tarehe 27 nalala usingizi mzito niamke tarehe 29 niendelee na mishe zangu . Ifike mahali kila
mtu awe na uhuru wa kweli wa kufanya maamuzi yake binafsi bila kuombwa wala kulazimishwa. Siwapendi wagombea wote wa awamu hii πŸ™…πŸ½πŸ™…πŸ½πŸ™…πŸ½πŸ™…πŸ½πŸ™…πŸ½πŸ™…πŸ½
 
Keep dreaming.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😳😳 Wote?
 
Hizi siku chache zilizobaki aanze kukusanya kilicho chake, wenye nyumba yao wanakuja
 
Kifupi ni kuwa jiwe hakubaliki na hafai kuwa Rais, yaani hii miaka mitano imekuwa michungu kwa kila kundi katika jamii

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hatudanganyiki kwa propaganda ya Libya,Iraq,Misri,Burundi,DRC nk.Tunataka Uhuru, Haki na Maendeleo endelevu kwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…