Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

Amini msiamini mnaomchukia JPM kwa sasa mnajitahidi kutafuta faraja japo muuburudishe moyo wenu hata kwa sekunde kadhaa. Lakini ukweli unaufahamu fika kubwa mh.JPM anapendwa na kukubalika na watanzania kuliko mgombea urais yoyote TZ. Poleni sana JPM kawakosea nini hadi mumchukie? Au ndio zile fasheni za ki Libya. Toeni tongotongo hakuna mtu ataekuletea pesa mfukoni.

MAGUFULI4LIFE.
Kila mtu ana kadi yake ya mpiga kura... haya maelezo yote ya kazi gani?
 
Amini msiamini mnaomchukia JPM kwa sasa mnajitahidi kutafuta faraja japo muuburudishe moyo wenu hata kwa sekunde kadhaa. Lakini ukweli unaufahamu fika kubwa mh.JPM anapendwa na kukubalika na watanzania kuliko mgombea urais yoyote TZ. Poleni sana JPM kawakosea nini hadi mumchukie? Au ndio zile fasheni za ki Libya. Toeni tongotongo hakuna mtu ataekuletea pesa mfukoni.

MAGUFULI4LIFE.
Umeandika kwa maumivu kweli. Pole.

Hujui "JPM kawakosea nini hadi mmchukie?"

Basi ngoja nikusaidie kidogo kukukumbusha kosa moja alilowafanyia. Hawa unaosema wanamchukia hawataki kufanywa kama mali binafsi, kama mifugo hivi ya mtu awaye yeyote, hata akiwa rais.

Umenielewa? Na hili ni kosa moja tu, bado yapo mengi makosa aliyofanya na kusababisha achukiwe, kama kweli anachukiwa.

Kama wewe umeteuliwa kwenye nafasi ya kuwakandamiza hao watu wanaomchukia, basi elewa, na wewe umechangia kuchukiwa huko.

Na hapo mwisho unaandika "MAGUFULI FOR LIFE"? THAT CAN ONLY BE A FIGMENT OF YOUR IMAGINATION!

Wewe ni mtupu kweli kichwani.
 
Wazee za asubuhi,bila shaka mko poa na kwa wale ambao afya zao haziko sawa M/Mungu awafanyie wepesi.

Kama somo linavyosema hapo juu sina cha kuongezea.Zifuatazo ni baadhi tu wa screen shot kwa ushahidi kamili zama twitter ukajionee

Niwatakie asubuhi na ijumaa njema.
Screenshot_20201016-070817.jpg
Screenshot_20201016-070825.jpg
Screenshot_20201016-070832.jpg
Screenshot_20201016-070857.jpg
Screenshot_20201016-070905.jpg
Screenshot_20201016-071319.jpg
Screenshot_20201016-071343.jpg
Screenshot_20201016-071401.jpg
 
Amini msiamini mnaomchukia JPM kwa sasa mnajitahidi kutafuta faraja japo muuburudishe moyo wenu hata kwa sekunde kadhaa. Lakini ukweli unaufahamu fika kubwa mh.JPM anapendwa na kukubalika na watanzania kuliko mgombea urais yoyote TZ. Poleni sana JPM kawakosea nini hadi mumchukie? Au ndio zile fasheni za ki Libya. Toeni tongotongo hakuna mtu ataekuletea pesa mfukoni.

MAGUFULI4LIFE.
Atuambie kwanza Ben Saanane alipo
 
since then kura huwa ni siri ya mtu binafsi usidanganyike na watu kuja kwenye mikutano never ever NITAMCHAGUA JOHN POMBE MAGUFULI binafsi kura yangu ipo wazi kabisa kama jinsi walivyo wamarekani
 
Magufuli will win this election with very many votes because Tundu Lissu supports gays we are not ready to have a president like Tundu Lissu maybe he can go to to be president maybe in Belgium but not here
 
Back
Top Bottom