Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

Ikifika tarehe 27 nalala usingizi mzito niamke tarehe 29 niendelee na mishe zangu . Ifike mahali kila
mtu awe na uhuru wa kweli wa kufanya maamuzi yake binafsi bila kuombwa wala kulazimishwa. Siwapendi wagombea wote wa awamu hii [emoji1439][emoji1439][emoji1439][emoji1439][emoji1439][emoji1439]
Ha ha ha ha ha tatizo sio wagombea , Tatizo nchi hii Kuna mijitu hata uifanyie wema gani Haina shukran,mijitu Kama hii ndio inatusababishia watu wengine matatizo

Humu jf mijitu imejaa chuki za kijinga na roho mbaya

Awamu zote mbili kazi yao Ni kutukana matusi humu,unajiuliza Hawa watu wanataka waongozwe na watu gani,sasaivi mapenzi yao yapo kwa Amsterdam

Watu wenye nafsi za kulalamika tu,hawana hata chembe ya pongezi.

JPM is the right person kwa watu Kama Hawa

Vote for magufuli
 
Duuuu!
Sijui siku hiyo itakuwaje - nimeisubiri kwa hamu - nitapiga kura na picha ya kura yangu ntaitunza mtandaoni
 
since then kura huwa ni siri ya mtu binafsi usidanganyike na watu kuja kwenye mikutano never ever NITAMCHAGUA JOHN POMBE MAGUFULI binafsi kura yangu ipo wazi kabisa kama jinsi walivyo wamarekani
Mbona unajikanyaga matanga size ya Kati.

Mara kura ni Siri ya mtu Mara ntampigia kura Meko. Sasa Siri ipo wapi apo

ndo ivyo yaan unavyoona kwenye mikutano ndo hao washaamua Kama ulivyoamua ww kura kwa mbeba maono

Haki huinua TAIFA
 
Wazalendo na wapenda maendeleo ya Tanzania tutamchagua JPM kwa kishindo.

October 28 kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Utekaji, utesaji, upoteaji wa watu, hali ngumu ya maisha pamoja na kufanya kazi kwa bidii tunakofanya, kuumizwa kwa wakosoaji wa serikali yake, udhalilishaji wa wanawake nk vinaondoa UHALALI WA MAZURI YOTE ALOYAFANYA

Mbaya zaidi hajitokezi hadharani kukemea haya mateso na mauaji ya hawa watanzania wenzetu

Watanzania hatujazoeshwa kuishi kwa utamaduni huu mbaya ambao umemea hasa katika kipindi hiki cha hii REGIME.

Mm naungana na wapenda AMANI, MSHIKAMANO wote kuipinga hii regime.

Mbaya saaana watu kupotea kama vile kapotea kuku au umbwa
 
Kumpigia kura kibaraka wa Amsterdam ukamuacha mzalendo ni uhaini.. 28/10 kura yangu kwa JPM
 
Back
Top Bottom