CCM ishatanguliza shingo kibra.......Watu walio wengi wanakataga kauli wakikaribia kufa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ishatanguliza shingo kibra.......Watu walio wengi wanakataga kauli wakikaribia kufa.
Hali mbaya. Mpaka anaamua kuomba kura mitandaoni!Wazalendo na wapenda maendeleo ya Tanzania tutamchagua JPM kwa kishindo.
October 28 kura zote za ndio ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ha ha ha ha ha tatizo sio wagombea , Tatizo nchi hii Kuna mijitu hata uifanyie wema gani Haina shukran,mijitu Kama hii ndio inatusababishia watu wengine matatizoIkifika tarehe 27 nalala usingizi mzito niamke tarehe 29 niendelee na mishe zangu . Ifike mahali kila
mtu awe na uhuru wa kweli wa kufanya maamuzi yake binafsi bila kuombwa wala kulazimishwa. Siwapendi wagombea wote wa awamu hii [emoji1439][emoji1439][emoji1439][emoji1439][emoji1439][emoji1439]
Sawa tutakuletea gwaji boy chumbani kwako kwani gwajiboy show anaiweza saaaaaaaaaaaaanaaaaaaaa
Wanaomchukia JPM nu wenye tamaa, na waroho wa madaraka. Idadi kubwa ya watanzania kura zetu ni kwa Magufuli.
Sema wapangaji wapya. Wenye nyumba ni wananchi.Hizi siku chache zilizobaki aanze kukusanya kilicho chake, wenye nyumba yao wanakuja
Mataga usiyechoka naona umepanicTwitter kuna watanzania wangapi mpaka uone kama wanawakilisha watanzania? Tumia akili wewe bwege
Mbona unajikanyaga matanga size ya Kati.since then kura huwa ni siri ya mtu binafsi usidanganyike na watu kuja kwenye mikutano never ever NITAMCHAGUA JOHN POMBE MAGUFULI binafsi kura yangu ipo wazi kabisa kama jinsi walivyo wamarekani
Relax mataga.Jinga kabisa kwaiyo na wewe unasubiria uteuzi hewa kutoka kwa kiduku.
Utekaji, utesaji, upoteaji wa watu, hali ngumu ya maisha pamoja na kufanya kazi kwa bidii tunakofanya, kuumizwa kwa wakosoaji wa serikali yake, udhalilishaji wa wanawake nk vinaondoa UHALALI WA MAZURI YOTE ALOYAFANYAWazalendo na wapenda maendeleo ya Tanzania tutamchagua JPM kwa kishindo.
October 28 kura zote za ndio ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kura yangu iko hapa
Jisemee nafsi yako!hatuwezi kumpa nchi mbowe na wahuni wenzie
Yule aliyetuahidi kuja JF na akakimbia tunamzungumziaje?Hali mbaya. Mpaka anaamua kuomba kura mitandaoni!