Wengi wanafikiri hivyo lakini mshindi ni Lissu na NEC itamtangaza MagufuliIncumbent John Magufuli is widely expected to win re-election despite the recent return to Tanzania of main opposition challenger Tundu Lissu, who took exile in Belgium after suffering 16 bullet wounds when he was shot by unknown assailants in 2017.
Wewe ni nani hata upinge AljazeeraWengi wanafikiri hivyo lakini mshindi ni Lissu na NEC itamtangaza Magufuli
Hawa masister ndiyo maana kanisa liliamua wasiolewe maana akili zao ni kama za Makonda
Ndiyo watamtangaza?Wewe ni nani hata upinge Aljazeera
Opposition complains of repression as Tanzania heads to the polls
Hata yeye kasahngaaYule askofu anayewatetea akiona hii comment yako mbona atashangaa kweli kweli
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro (Sisters of our lady of Kilimanjaro) Moshi mjini mkoani Kilimanjaro wakati akitoka kwenye mkutano wa Kampeni za CCM.
View attachment 1607785
Masista hao walikuwa wamejipanga pembezoni mwa barabara.
Licha ya mazungumzo, masista hao walimuombea Magufuli baraka.
View attachment 1607783
View attachment 1607784
Kwa hiyo ameona anunue Ndege aje kuzipaki ajenge Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kuanikia nafakaMagufuli ni mbeba maono ya Watanzania
Kwa hiyo ameona anunue Ndege aje kuzipaki ajenge Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kuanikia nafaka
Kuwasifia Wanawake Weupe na kuwakashifu Weusi hayo ni Mauno sio Maono
Masista hawana budi bali ni kumwaga Pombe
Magufuli ni mbeba maono ya Watanzania
Ndege zinapiga ruti, Wewe endelea kufuga punda singida mashariki huwezi kujua
Dar Dom, mwanza, hahaha unanunua pipa kwa ajili ya kunywa Chai, Sasa si ununue kikombe tu
Wanasimama wakiwa hawana bikira,Masista wanasimama kwenyenafasi ya Bikira Maria.
hapo JPM kapata baraka zote za Bikira Maria.
#JPM mitano tena.