Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aombewa baraka na masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro akiwa Moshi Mjini, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aombewa baraka na masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro akiwa Moshi Mjini, Kilimanjaro

CCM Damu

Member
Joined
Oct 29, 2007
Posts
15
Reaction score
28
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro (Sisters of our lady of Kilimanjaro) Moshi mjini mkoani Kilimanjaro wakati akitoka kwenye mkutano wa Kampeni za CCM.

EA5CD531-50B8-4123-8D37-8B79693CABF1.jpeg

Masista hao walikuwa wamejipanga pembezoni mwa barabara.

Licha ya mazungumzo, masista hao walimuombea Magufuli baraka.

FF11679F-924B-4A6C-8353-08500F3FC41A.jpeg

77BFEBFB-BD9C-4884-9645-776E26A74AA8.jpeg
 
Incumbent John Magufuli is widely expected to win re-election despite the recent return to Tanzania of main opposition challenger Tundu Lissu, who took exile in Belgium after suffering 16 bullet wounds when he was shot by unknown assailants in 2017.
 
Wengi wanafikiri hivyo lakini mshindi ni Lissu na NEC itamtangaza Magufuli
 
Wanaacha kwenda kumuombea mtu aliyesababishiwa ulemavu kwa jaribio la kuuwawa la kupigwa risasi 16, wanaenda kumuombea muuaji, mbaguzi, fedhuli na katili . Kweli siku hizi dini ni wewe na Mungu wako tu. Watumishi wote ni wezi tu!!
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro (Sisters of our lady of Kilimanjaro) Moshi mjini mkoani Kilimanjaro wakati akitoka kwenye mkutano wa Kampeni za CCM.

View attachment 1607785

Masista hao walikuwa wamejipanga pembezoni mwa barabara.

Licha ya mazungumzo, masista hao walimuombea Magufuli baraka.

View attachment 1607783

View attachment 1607784
 
Masista wanasimama kwenyenafasi ya Bikira Maria.
hapo JPM kapata baraka zote za Bikira Maria.
#JPM mitano tena.
 
Ndege zinapiga ruti, Wewe endelea kufuga punda singida mashariki huwezi kujua
Kwa hiyo ameona anunue Ndege aje kuzipaki ajenge Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kuanikia nafaka

Kuwasifia Wanawake Weupe na kuwakashifu Weusi hayo ni Mauno sio Maono

Masista hawana budi bali ni kumwaga Pombe
 
Back
Top Bottom