Labda maono ya kupiga chabo
Ya wakristo sio watanzania, utawala wake waislam wanaofaidika nao ni alhad musa na genge lake
Kwa maumivu makali!Mimi namjua Rais Magufuli Kwasababu uongozi wake bora unagusa kila Mtanzania
Kwa maumivu makali!
Si ajabu kwa "Wadanganyika" ila itakuwa miaka mitano ya kusaga meno! kama Haki, Uhuru na Maendeleo ya Watu hayatazingatiwaWanapata maumivu makali ni majizi,Mafisadi, wauza madawa ya kulevya na wapiga dili
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Si ajabu kwa "Wadanganyika" ila itakuwa miaka mitano ya kusaga meno! kama Haki, Uhuru na Maendeleo ya Watu hayatazingatiwa
Mshindi wa ujinga ila wa watanzania ni Magufuli.Wengi wanafikiri hivyo lakini mshindi ni Lissu na NEC itamtangaza Magufuli
Mchague wewe na kizazi chakoMshindi wa ujinga ila wa watanzania ni Magufuli.
Lisu ni mhuni tu.
It’s a reality!You just need to be a bit careful, distinguish between opinions, expectations and reality.
Mwambie shemeji yako ukupe ugali ulale,hakuna unalolijua.Ndege zinapiga ruti, Wewe endelea kufuga punda singida mashariki huwezi kujua
It’s a reality!
Wewe ndio unatafuta laana masista kosa Lao lipi hapo hadi yakutoke hayo?Da wanatafuta laana tena
Na wengine hawa hapa; nao wanaomba!Waombee Wewe, Rais Magufuli anaombewa na watu wa Mungu ila sio mlevi kama wewe