Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aombewa baraka na masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro akiwa Moshi Mjini, Kilimanjaro

Wanapata maumivu makali ni majizi,Mafisadi, wauza madawa ya kulevya na wapiga dili

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Kwa maumivu makali!
 
Wanapata maumivu makali ni majizi,Mafisadi, wauza madawa ya kulevya na wapiga dili

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Si ajabu kwa "Wadanganyika" ila itakuwa miaka mitano ya kusaga meno! kama Haki, Uhuru na Maendeleo ya Watu hayatazingatiwa
 
Mnataka haki gani? Kama zile za yule bwana kutoka ubeligiji ?
Si ajabu kwa "Wadanganyika" ila itakuwa miaka mitano ya kusaga meno! kama Haki, Uhuru na Maendeleo ya Watu hayatazingatiwa
 
Ndege zinapiga ruti, Wewe endelea kufuga punda singida mashariki huwezi kujua
Mwambie shemeji yako ukupe ugali ulale,hakuna unalolijua.
Umebahatika kumkwapulia mtu simu janja, ndiyo imekuja tena kutuletea usumbufu.
 
wazee wa BAKWATA wanasemaje kuhusu kuchanganya dini na siasa ? ingekuwa wamemuombea lisu au hammad je wangekuwa bado kimya?
 
Back
Top Bottom