I think we could strengthen domestic routes and airports. We could also work to open transportation with our neighbouring countries for tourism and other business ventures.
But letting private companies own the sky is a suicide mission.
Haaaaaaaa haaaaaaaa. Maaaaamaaaa kuuuumbeee unatakaa kamuhogooo,Shibe ndo kila kitu,mliwasomesha namba watz zamu yenu kuisoma October
Kwa nini usimfuate huyo alie Fanya makubwaaa??Mjerumani amekaa miaka michache kuliko aliyokaa ccm na amefanya makubwa Sana nchi hii
Mkuu zipo sekta nyingi tu. Kama unaamini katika kupika data hata ukipewa data utaona unadanganywa.
"Mtu anazungumza eti nimejenga uwanja nyumbani, nikifa nitaenda nalo hilo liuwanja kaburini? ,ni lazima upange mipango mipana, tumejenga na tunajenga viwanja vingi zaidi ya 11..hivyo viwanja vyote watu hawavioni wanakiona cha Chato tu, ashindwe akalegee kweli kweli". Rais Magufuli
Hoja za Wadau,wapiga kura hawajaridhika
expand...
1. Ni faida kiasi gani ndege hizo zinaleta kwa taifa?
2. Kwanini amehamishia ndege kwenye kasma namba 20 ambayo haikaguliwi na CAG kama ambayo mashirika mengine ya umma yanakaguliwa?
3. Kwanini hataki kuweka wazi mikataba ya manunuzi ya ndege?
4. Kama anaweza kusafiri na gari nchi nzima wakati wa kampeni anashindwaje kusafiri kutoka mwanza airport mpaka chato?
5. Baada ya yeye kumaliza uraisi huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
Kwa kuwa makampuni yote duniani hayanunui ndege za abiria kwa hela taslimu ( commercial aircraft leasing agreement ) ili kuweza kumudu mtaji na gharama za uendeshaji. Je biashara hii inaweza kuhimili ushindani sokoni?
Shida yetu wengi tupo kisiasa kuliko uhalisia. Hata tukiziondoa hizo ndege, kesho zitadaiwa kama vile kuwa nazo ilikuwa lazima. We can't get satisfied as usual. But leadership is about making some choices and stand by them 100%. What remains thereafter, is the analysis of what were the successes and failures.
As of me, JPM aendelee na aliyochagua. Muda ndio utaamua kama alichemsha au la. Sababu tunahitaji national carrier kama mataifa mengine. Just for a national pride!
History ipo tujifunze twende mbele na sio kurudia makosa ya waliopitaKwa nini usi
Kwa nini usimfuate huyo alie Fanya makubwaaa??
Haaaaaaa haaaaaa.
Hovyo kabisa nyieeee.
Eti eeh!KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??
I do agree with some of your views especially in strethening domestic routes and airports. Will you mind if you tell us how exactly private companies will sobatage our sky, will you? Only socialist will come up with this kind of a conclusion.
Watz mmewaumiza mtapenyea wapi.Haaaaaaaa haaaaaaaa. Maaaaamaaaa kuuuumbeee unatakaa kamuhogooo,
Kama unaitakamali utaipata shambaniiii.
AJIRA HUPATI NG'OO, NA CCM OCTOBER, 28,2020 TUNASHINDA KWA 100%
Muda gani utaamua? Miaka yote mitano tumepoteza, tupoteze tena mingine? No way.! Tena labda tupoteze mingine 20! Hapana kwa kweli.
Unazungumzia ndege gani ya Chato? Tuwe makini makamanda.
HUJASIKIA DARAJA LINALOITWA DARAJA LA MKAPA???
Huuuu upinzani wa awamuuu shidakweli kweliiii.
Mgonjwa gani wa kuwa air lifted Chato!?KWAHYO HUO UWANJA HAKUNA MTANZANIA WALA NDEGE YOYOTE ITAKAYO RUKA HAPO?
INAMAANA HAKUNA WAFANYABIASHARA WENYE UWEZO AU WAGONJWA WENYE UHITAJI WA HARAKA KWA KUTUMIA UWANJA HUO??
SHIIIDA KWELI KWELIII.
Kwani wanaoishi chato hawana haki yakuwekewaa taaa barabaranii???Eti eeh!
Kweli hakuna shida. Yaani hakuna shida kabisaaa!!!
Hata akiamua kuweka taa za kuongozea magari sehemu ambayo gari linapita baada ya saa moja, hakuna shida, kwani si wapo punda na ng'ombe zitasaidia kuwaongoza!!. Hata akijenga fly over pale.Chato hakuna shida kwani si Tanzania!?!?
Yaani hakuna shida kabisa si watz wote wanafaidika?
Yaani MATAGA nna akili kweri kweri!!
Kwahiyo umekubali kila raisi amefanya kitu cha kijamiiiii eneo anapotoka.Daraja lina tija kwa wanyonge, je ndege ni za wanyonge? Huyo Magufuli wangalau angejenga chuo utetezi wenu ungekuwa na afadhali, ila sio uwanja wa ndege.
Nani kakwambia ndege ni anasa.Ata kama hizo ndege ni muhimu nikwauchumi gani tulionao hadi tununue mandege yote hayo tena kwa fedha taslimu.Watu bado hawana ata uwezo wakupanda hayo mabasi unaongelea ndege.Hivi ni ujinga au mazoea mabaya kusema ndege hazina wapandaji,tatizo hamna akili kama taifa tunaitaji ndege na viwanja kila wilaya ili use usafiri wa kawaida tu kwa wananchi MTU achague mwenyewe ahende kwa ndege,gari,meli au treni hayo maujinga ya kuamini kuwa ndege ni anasa ukome huko huko kwa uyo alirudi kutoka Belgium kwa pikipiki.