Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

I think we could strengthen domestic routes and airports. We could also work to open transportation with our neighbouring countries for tourism and other business ventures.
But letting private companies own the sky is a suicide mission.

I do agree with some of your views especially in strethening domestic routes and airports. Will you mind if you tell us how exactly private companies will sobatage our sky, will you? Only socialist will come up with this kind of a conclusion.
 
Shibe ndo kila kitu,mliwasomesha namba watz zamu yenu kuisoma October
Haaaaaaaa haaaaaaaa. Maaaaamaaaa kuuuumbeee unatakaa kamuhogooo,

Kama unaitakamali utaipata shambaniiii.

AJIRA HUPATI NG'OO, NA CCM OCTOBER, 28,2020 TUNASHINDA KWA 100%
 
"Mtu anazungumza eti nimejenga uwanja nyumbani, nikifa nitaenda nalo hilo liuwanja kaburini? ,ni lazima upange mipango mipana, tumejenga na tunajenga viwanja vingi zaidi ya 11..hivyo viwanja vyote watu hawavioni wanakiona cha Chato tu, ashindwe akalegee kweli kweli". Rais Magufuli

Hoja za Wadau,wapiga kura hawajaridhika
expand...

1. Ni faida kiasi gani ndege hizo zinaleta kwa taifa?
2. Kwanini amehamishia ndege kwenye kasma namba 20 ambayo haikaguliwi na CAG kama ambayo mashirika mengine ya umma yanakaguliwa?
3. Kwanini hataki kuweka wazi mikataba ya manunuzi ya ndege?
4. Kama anaweza kusafiri na gari nchi nzima wakati wa kampeni anashindwaje kusafiri kutoka mwanza airport mpaka chato?
5. Baada ya yeye kumaliza uraisi huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
Kwa kuwa makampuni yote duniani hayanunui ndege za abiria kwa hela taslimu ( commercial aircraft leasing agreement ) ili kuweza kumudu mtaji na gharama za uendeshaji. Je biashara hii inaweza kuhimili ushindani sokoni?

Alishawaambia utakopaje wakati una hela cash.Tanzania ni Nchi tajiri
 
Shida yetu wengi tupo kisiasa kuliko uhalisia. Hata tukiziondoa hizo ndege, kesho zitadaiwa kama vile kuwa nazo ilikuwa lazima. We can't get satisfied as usual. But leadership is about making some choices and stand by them 100%. What remains thereafter, is the analysis of what were the successes and failures.
As of me, JPM aendelee na aliyochagua. Muda ndio utaamua kama alichemsha au la. Sababu tunahitaji national carrier kama mataifa mengine. Just for a national pride!

Muda gani utaamua? Miaka yote mitano tumepoteza, tupoteze tena mingine? No way.! Tena labda tupoteze mingine 20! Hapana kwa kweli.
 
KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??
Eti eeh!
Kweli hakuna shida. Yaani hakuna shida kabisaaa!!!
Hata akiamua kuweka taa za kuongozea magari sehemu ambayo gari linapita baada ya saa moja, hakuna shida, kwani si wapo punda na ng'ombe zitasaidia kuwaongoza!!. Hata akijenga fly over pale.Chato hakuna shida kwani si Tanzania!?!?
Yaani hakuna shida kabisa si watz wote wanafaidika?
Yaani MATAGA nna akili kweri kweri!!
 
I do agree with some of your views especially in strethening domestic routes and airports. Will you mind if you tell us how exactly private companies will sobatage our sky, will you? Only socialist will come up with this kind of a conclusion.

Saying we just not need a national carrier, does mean we have to let the sky open for private firms to operate. The way airline business is done, there are a lots of turbulent times that private firms wont care about looking for the interest of their customers. We need an airline but everybody involved with it must be accountable
 
Haaaaaaaa haaaaaaaa. Maaaaamaaaa kuuuumbeee unatakaa kamuhogooo,

Kama unaitakamali utaipata shambaniiii.

AJIRA HUPATI NG'OO, NA CCM OCTOBER, 28,2020 TUNASHINDA KWA 100%
Watz mmewaumiza mtapenyea wapi.
Kama mtashinda why mnawaengua wagombea wa upinzani,why sheria kandamizi nyingi Sana kipindi hiki,
 
Muda gani utaamua? Miaka yote mitano tumepoteza, tupoteze tena mingine? No way.! Tena labda tupoteze mingine 20! Hapana kwa kweli.

Sema mimi nimepoteza miaka mitano. Unajuaje kama kila mtu amepoteza?
 
HUJASIKIA DARAJA LINALOITWA DARAJA LA MKAPA???

Huuuu upinzani wa awamuuu shidakweli kweliiii.

Daraja lina tija kwa wanyonge, je ndege ni za wanyonge? Huyo Magufuli wangalau angejenga chuo utetezi wenu ungekuwa na afadhali, ila sio uwanja wa ndege.
 
Kujenga airport Chato Ni sawa na kujenga flyover Chato hapa Ni the same
 
Leo tumefokewa kwa kweli dahhh... Kama watoto

Kwamba "mnasema haji jimboni ulitaka aje kwako"
 
KWAHYO HUO UWANJA HAKUNA MTANZANIA WALA NDEGE YOYOTE ITAKAYO RUKA HAPO?
INAMAANA HAKUNA WAFANYABIASHARA WENYE UWEZO AU WAGONJWA WENYE UHITAJI WA HARAKA KWA KUTUMIA UWANJA HUO??

SHIIIDA KWELI KWELIII.
Mgonjwa gani wa kuwa air lifted Chato!?

Tuacheni utani.....!!?
 
Kwani
Eti eeh!
Kweli hakuna shida. Yaani hakuna shida kabisaaa!!!
Hata akiamua kuweka taa za kuongozea magari sehemu ambayo gari linapita baada ya saa moja, hakuna shida, kwani si wapo punda na ng'ombe zitasaidia kuwaongoza!!. Hata akijenga fly over pale.Chato hakuna shida kwani si Tanzania!?!?
Yaani hakuna shida kabisa si watz wote wanafaidika?
Yaani MATAGA nna akili kweri kweri!!
Kwani wanaoishi chato hawana haki yakuwekewaa taaa barabaranii???

Au wewe umezuiliwa kupeleka gari kwenye hizoo taaa za chato??

Mbona mnabwabwaja tuuuu??
 
Daraja lina tija kwa wanyonge, je ndege ni za wanyonge? Huyo Magufuli wangalau angejenga chuo utetezi wenu ungekuwa na afadhali, ila sio uwanja wa ndege.
Kwahiyo umekubali kila raisi amefanya kitu cha kijamiiiii eneo anapotoka.
Kwanini alijenga hilo daraja kule kwao na wakati kwa bibi yako mpaka leomnavuka mto kwa kuogelea???
 
Hivi ni ujinga au mazoea mabaya kusema ndege hazina wapandaji,tatizo hamna akili kama taifa tunaitaji ndege na viwanja kila wilaya ili use usafiri wa kawaida tu kwa wananchi MTU achague mwenyewe ahende kwa ndege,gari,meli au treni hayo maujinga ya kuamini kuwa ndege ni anasa ukome huko huko kwa uyo alirudi kutoka Belgium kwa pikipiki.
Nani kakwambia ndege ni anasa.Ata kama hizo ndege ni muhimu nikwauchumi gani tulionao hadi tununue mandege yote hayo tena kwa fedha taslimu.Watu bado hawana ata uwezo wakupanda hayo mabasi unaongelea ndege.
 
Uwanja huu naufananisha wa uwanja ambao dictator Mobutu Sese seko alijenga huko Chato ya kwake ambapo kama ilivyo Sasa hapa kwetu ulikuwa unatumika kwa shughuli zake akiwa raisi kama ilivyo Sasa hapa kwetu
Alipokufa hakuondoka nao ila uwanja ukageuka kuwa magofu kwani ulijengwa bila kufanya tathmini za kiuchumi na mapato.
Huu uwanja wa Chato ndio utakavyokuwa .
Kimsingi Ni mojawapo wa mfano wa matumizi mabaya ya madaraka na fedha za umma
Angalie hiyo clip hapo chini inasikitisha sana

Back
Top Bottom