Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Kwan
Kwani wao hawana hadhi ya kuwa na uwanja wa ndege mkoa mzima wa geita?
Au kwenu tuuu ndo pana hadhi ya kuwa na uwanja wa ndege??

Au chato sio Tanzania??
Kwa nini chadomo mumevurugwa namna hiyooo???

Suala hapa sio hadhi, bali ni hitaji la msingi la watu wa eneo husika. Ni wananchi wangapi wa Chato wanaweza kupakia ndege?
 
Kw
Kwani viwanja vyote vinavyojengwa, mikoa yote na wilaya zake, vinamakampuni yaliyokwisha sajiriwa kwa viwanja hivyo??

Haaaaaa haaaaaa. Upinzani wa kipindi hiki umekuwa janga la taifa kwelikweliiii.
Sasa kama hamna uhitaji/'need'.,ilijengwa ya nini?.

NB:ni 'sajiliwa' na sio 'sajiriwa'
 
Suala hapa sio hadhi, bali ni hitaji la msingi la watu wa eneo husika. Ni wananchi wangapi wa Chato wanaweza kupakia ndege?
Kwani unatakwimu ya wanainchi wa chato na mkoa mzima wa geita??

Kwani kigezo cha kujenga uwanja wa ndege eneohusika, ni wingi wa watu wa eneo lileee???

HUKU upinzani wa karne hiiii umekua janga la taifa kwelikweliii.
 
Sasa kama hamna uhitaji/'need'.,ilijengwa ya nini?.

NB:ni 'sajiliwa' na sio 'sajiriwa'
Kwahyo kwa akiri yako hivyo viwanja ulitaka visajiri kampuni ya ndegeee, halafu ndoo vijengwee?

Na huuu utaratibu umeuona wapiiii???
 
Ameshaanza kuliita hilo Liuwanja!!! Yani kama angekua na uwezo wa kuuhamisha angeshalihamisha maana liuwanja la Chatto limeshakuwa kaa la moto!
 

Kuna wakati ni rahisi mno kusema sababu Hakuna madhara yoyote.
Awamu ya tatu wakati mradi wa Songas unaanza, nao ulipingwa sana kama ni burden kwa walipa kodi. Hakuna anayesema sasa maana baadae gesi nyingi ilikuja gunduliwa Tanzania
Airline business ni business kichaa sababu kwa operators wengi, bado wako kama wanafanya fashion badala ya biashara. Accountability yake pia ni kama haipo. Ndio maana KQ, SA airline, and some many others are in comma, waiting for cash injection for revival, or undergo natural death.
Kuna mambo ya msingi lazima yaangaliwe kabla ya kuamini kwamba kila kitu hakiwezekani sababu jirani ameshindwa. Ethiopia wanawezaje? Kwanini tusiimalishe viwanja vya ndani na routes stable by ATCL? Mizigo yetu inasafirishwaje has perishable goods?
Kwenda kimkakati ndio dhana nzima ya mapambano. Haya mambo ya copy and paste sioni kama yana msaada kwetu. Nchi hii ni yetu. Hatma yake tuwaachie watu wasiojali ili iweje?
 
Precision Air ilikatisha route yake ya Shinyanga Dar kupiga Mwanza Kwa ajili hakukuwa na wateja au wakati mwingine kufuata mteja mmoja. Hao wateja WA Chato wanatokea wapi?,issue sio dharau fanyeni tafiti Watanzania wepi watapanda hizo ndege?
 
Magufuli kama kuna watu anapaswa awafukuze kazi ni watu wanaomshauri
 
Mm concern yangu ni hiyo Namba 5 tu basi. Linahitaji majibu muafaka
 
Ukisikia JPM anasema kwani kiwanja ni Chato tu mbona hamuongelei vingine; ujue chumvi iliyosuguliwa kwenye kidonda inauma!
 
Picha ya kaburi? Yapo


mengi tu na la bibi yake kizaa baba lipo

Wewe tuhabarishe unaemjua zaidi
Endeleeni kuwadanganya watanzania wasiojua. Sina haha ya kuelezea Sana humu maana hata wewe unajua unachokiandika hapa. Mfano Marais wote wa Nchi hii waliopita wanajulikana walizaliwa wapi. Unaweza kuniambia jiwe alizaliwa wapi?
 
Hoja kama hizi zinawaondolea heshima makamanda wenzangu. Kipindi hiki cha Corona unategemea Atcl wapate faida?
Atcl kwa nini isikaguliwe na CAG wakati ni shirika la umma? Tunajiabisha tuwe makini kujibu hoja
Corona ipi , wakati corona imeshaisha. Au ili ATCL ipate faida ni lazima ndege zao ziende nje ya nchi ?
 
Siyo upinzani, ni facts. Kiwanja hakijengwi kwa kazi hiyo, anyway. Ingekuwa ni private air strip, Sawa. Toka umekamilika ni almost 2 years, mbona hizo ndege haziendi huko. Au zitaanza safari za Chato lini!?
 
Kwani ikishindwa hiyokampuni ndo sababu uwanja usijengweee??

Kwani mbona viwanja vinajengwa kila wilaya na mikoa inamana vinategemea hiyo kamuni
Precision Air ilikatisha route yake ya Shinyanga Dar kupiga Mwanza Kwa ajili hakukuwa na wateja au wakati mwingine kufuata mteja mmoja. Hao wateja WA Chato wanatokea wapi?,issue sio dharau fanyeni tafiti Watanzania wepi watapanda hizo ndege?
KWANI MWL NYERER ALIANZISHA SHIRIKA LA NDEGE NA KUNUNUA NDEGE WATANZANIA WOTE WALIPANDA HIZO NDEGEE??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…