Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Kwan
Kwani wao hawana hadhi ya kuwa na uwanja wa ndege mkoa mzima wa geita?
Au kwenu tuuu ndo pana hadhi ya kuwa na uwanja wa ndege??

Au chato sio Tanzania??
Kwa nini chadomo mumevurugwa namna hiyooo???

Suala hapa sio hadhi, bali ni hitaji la msingi la watu wa eneo husika. Ni wananchi wangapi wa Chato wanaweza kupakia ndege?
 
Kw
Kwani viwanja vyote vinavyojengwa, mikoa yote na wilaya zake, vinamakampuni yaliyokwisha sajiriwa kwa viwanja hivyo??

Haaaaaa haaaaaa. Upinzani wa kipindi hiki umekuwa janga la taifa kwelikweliiii.
Sasa kama hamna uhitaji/'need'.,ilijengwa ya nini?.

NB:ni 'sajiliwa' na sio 'sajiriwa'
 
Suala hapa sio hadhi, bali ni hitaji la msingi la watu wa eneo husika. Ni wananchi wangapi wa Chato wanaweza kupakia ndege?
Kwani unatakwimu ya wanainchi wa chato na mkoa mzima wa geita??

Kwani kigezo cha kujenga uwanja wa ndege eneohusika, ni wingi wa watu wa eneo lileee???

HUKU upinzani wa karne hiiii umekua janga la taifa kwelikweliii.
 
Ameshaanza kuliita hilo Liuwanja!!! Yani kama angekua na uwezo wa kuuhamisha angeshalihamisha maana liuwanja la Chatto limeshakuwa kaa la moto!
 
Tunahitaji sana ndege. Kabla ya huu mradi wa Magufuli, ndege zilikuwepo. Biashara ya ndege ni biashara kichaa, tata sana na inahitaji umakini. Ugomvi wetu mnaotuita wapingaji kumbe tunachofanya ni kuhoji ili pesa za walipa kodi zitumike kwa manufaa ni serikali kujiingiza katika biashara kichaa kama hii wakati wangewaachia sekta binafsi wakaendelea kutoa huduma na serikali ikafanya kazi ya kuimarisha viwanja na miundombinu nyingine na kukusanya kodi. Ikitokea hasara, inakuwa kwa hao hao mashirika binafsi na sio kwa mlipa kodi mTz. Hizo pesa alizowekeza katika atcl kama angeziwekeza katika kilimo, sasa hivi tungekuwa tunahesabu faida tuuuuu. Badala yake ni hasara 'mbere kwa mbere' (chambilecho mataga) na hakuna atakayejua ni hasara kiasi gani (kwa sababu ni mradi wa Magufuli)!!!. Magufuli anasumbuliwa sana na ushamba wa kiutawala kwa kufikiri kwa vile ni rais basi pesa yote ya serikali ni ya Magufuli na anaweza kuitumia anavyotaka alimradi anawapumbaza wananchi kuwa ni mtu wa maendeleo. Serikali kufanya biashara ya usafiri wa ndege za abiria kunaleta maendeleo gani?

Kuna wakati ni rahisi mno kusema sababu Hakuna madhara yoyote.
Awamu ya tatu wakati mradi wa Songas unaanza, nao ulipingwa sana kama ni burden kwa walipa kodi. Hakuna anayesema sasa maana baadae gesi nyingi ilikuja gunduliwa Tanzania
Airline business ni business kichaa sababu kwa operators wengi, bado wako kama wanafanya fashion badala ya biashara. Accountability yake pia ni kama haipo. Ndio maana KQ, SA airline, and some many others are in comma, waiting for cash injection for revival, or undergo natural death.
Kuna mambo ya msingi lazima yaangaliwe kabla ya kuamini kwamba kila kitu hakiwezekani sababu jirani ameshindwa. Ethiopia wanawezaje? Kwanini tusiimalishe viwanja vya ndani na routes stable by ATCL? Mizigo yetu inasafirishwaje has perishable goods?
Kwenda kimkakati ndio dhana nzima ya mapambano. Haya mambo ya copy and paste sioni kama yana msaada kwetu. Nchi hii ni yetu. Hatma yake tuwaachie watu wasiojali ili iweje?
 
Kwahi
Kwahiyo wanainchi wa chato wote kwa ujumla umewadhalau hawawezi kupanda ndege wala kuuugua wakahitaji msaada wandege??
Au umeudhalau mkoa mzima wa geita wote ni masikini hawawezi kupanda ndege hata mfanya biashara mumojaaa???

Huuuu upinzani wenu ni janga la taifaa
Precision Air ilikatisha route yake ya Shinyanga Dar kupiga Mwanza Kwa ajili hakukuwa na wateja au wakati mwingine kufuata mteja mmoja. Hao wateja WA Chato wanatokea wapi?,issue sio dharau fanyeni tafiti Watanzania wepi watapanda hizo ndege?
 
"Mtu anazungumza eti nimejenga uwanja nyumbani, nikifa nitaenda nalo hilo liuwanja kaburini? Ni lazima upange mipango mipana, tumejenga na tunajenga viwanja vingi zaidi ya 11, hivyo viwanja vyote watu hawavioni wanakiona cha Chato tu, ashindwe akalegee kweli kweli". Rais Magufuli

Hoja za Wadau, wapiga kura hawajaridhika

1. Ni faida kiasi gani ndege hizo zinaleta kwa taifa?
2. Kwanini amehamishia ndege kwenye kasma namba 20 ambayo haikaguliwi na CAG kama ambayo mashirika mengine ya umma yanakaguliwa?
3. Kwanini hataki kuweka wazi mikataba ya manunuzi ya ndege?
4. Kama anaweza kusafiri na gari nchi nzima wakati wa kampeni anashindwaje kusafiri kutoka Mwanza airport mpaka Chato?
5. Baada ya yeye kumaliza urais, huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
Kwa kuwa makampuni yote duniani hayanunui ndege za abiria kwa hela taslimu ( commercial aircraft leasing agreement ) ili kuweza kumudu mtaji na gharama za uendeshaji. Je biashara hii inaweza kuhimili ushindani sokoni?
Magufuli kama kuna watu anapaswa awafukuze kazi ni watu wanaomshauri
 
Ukisikia JPM anasema kwani kiwanja ni Chato tu mbona hamuongelei vingine; ujue chumvi iliyosuguliwa kwenye kidonda inauma!
 
Picha ya kaburi? Yapo

mengi tu na la bibi yake kizaa baba lipo

Wewe tuhabarishe unaemjua zaidi
Endeleeni kuwadanganya watanzania wasiojua. Sina haha ya kuelezea Sana humu maana hata wewe unajua unachokiandika hapa. Mfano Marais wote wa Nchi hii waliopita wanajulikana walizaliwa wapi. Unaweza kuniambia jiwe alizaliwa wapi?
 
Hoja kama hizi zinawaondolea heshima makamanda wenzangu. Kipindi hiki cha Corona unategemea Atcl wapate faida?
Atcl kwa nini isikaguliwe na CAG wakati ni shirika la umma? Tunajiabisha tuwe makini kujibu hoja
Corona ipi , wakati corona imeshaisha. Au ili ATCL ipate faida ni lazima ndege zao ziende nje ya nchi ?
 
Kwahi
Kwahiyo wanainchi wa chato wote kwa ujumla umewadhalau hawawezi kupanda ndege wala kuuugua wakahitaji msaada wandege??
Au umeudhalau mkoa mzima wa geita wote ni masikini hawawezi kupanda ndege hata mfanya biashara mumojaaa???

Huuuu upinzani wenu ni janga la taifaa
Siyo upinzani, ni facts. Kiwanja hakijengwi kwa kazi hiyo, anyway. Ingekuwa ni private air strip, Sawa. Toka umekamilika ni almost 2 years, mbona hizo ndege haziendi huko. Au zitaanza safari za Chato lini!?
 
Kwani ikishindwa hiyokampuni ndo sababu uwanja usijengweee??

Kwani mbona viwanja vinajengwa kila wilaya na mikoa inamana vinategemea hiyo kamuni
Precision Air ilikatisha route yake ya Shinyanga Dar kupiga Mwanza Kwa ajili hakukuwa na wateja au wakati mwingine kufuata mteja mmoja. Hao wateja WA Chato wanatokea wapi?,issue sio dharau fanyeni tafiti Watanzania wepi watapanda hizo ndege?
KWANI MWL NYERER ALIANZISHA SHIRIKA LA NDEGE NA KUNUNUA NDEGE WATANZANIA WOTE WALIPANDA HIZO NDEGEE??
 
Back
Top Bottom