Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Saying we just not need a national carrier, does mean we have to let the sky open for private firms to operate. The way airline business is done, there are a lots of turbulent times that private firms wont care about looking for the interest of their customers. We need an airline but everybody involved with it must be accountable

Who said we don't need national carrier? I think people they questions the priority, whereby aeroplanes is not their priority v/s employment, agriculture etc.
 
Kwahi
Mgonjwa gani wa kuwa air lifted Chato!?

Tuacheni utani.....!!?
Kwahiyo wanainchi wa chato wote kwa ujumla umewadhalau hawawezi kupanda ndege wala kuuugua wakahitaji msaada wandege??
Au umeudhalau mkoa mzima wa geita wote ni masikini hawawezi kupanda ndege hata mfanya biashara mumojaaa???

Huuuu upinzani wenu ni janga la taifaa
 
Who said we don't need national carrier? I think people they questions the priority, whereby aeroplanes is not their priority v/s employment, agriculture etc.

You see...you have jumped on something in the middle of it. Follow my chat with JokaKuu and then come and make a comment
 
Sio hivyo,,kipindi cha jk wapinzani walimlaumu sana kwa kufa kwa shirika la ndege,,jpm akaona hili tatizo aliondoe,ndiposa akaamua kulifufua shirika la ndege
Kulifufua sio shida mkuu, shida ni unalifufuaje na vipi litajiendesha ili liweze kutengeneza faida na pia kuwanufaisha wananchi kiujumla
 
Uamuzi wa kujenga uwanja Chato kwangu ni sahihi ili mradi ni Tanzania na siyo Kenya. Muhimu amalizie kwa kujenga jengo la Abiria -Pax terminal hapo na Mza Airport. Mbona Nyerere alijenga barabara ya lami Mwanza- Musoma miaka 70 wakati ule mabarabara mengi yalikuwa ya udongo na hamkusema. Acheni mitizamo ya kibaguzi watu walizoea maendeleo yaende Dar, Arusha, kilimanjaro hasa Hai.
 
Mnasema Tanzania haina Corona, lakini mnasema inaathiri ndege zenu, si mzirushe humuhumu ambamo hamna Corona na wateja ni wengi hadi Chato ndege ikienda inajaza abiria?
Jana Rais Museveni na watu wake wote aliekuja nao walikuwa wamevaa Barakoa ikiwa na maana kuwa pamoja na majigambo ya Magufuli kuwa Tanzania hakuna Covid-19 dunia nzimà hawaamini wanachukua tafadhali.
 
Lissu hana hadhi ya kufanya mdahalo na Mh, Rais wetu, Lissu mnamkuza mitandaoni, Hana hadhi, ropo ropo atapata wapi hadhi ya kupewa mdahalo na Mh. Rais wetu, Midahalo afanye Mitandaoni.
Lisu na Jiwe nani roporopo?!
Lisu anaongea fact...roporopo ni huyo wa chatoo
 
Kwahiyo umekubali kila raisi amefanya kitu cha kijamiiiii eneo anapotoka.
Kwanini alijenga hilo daraja kule kwao na wakati kwa bibi yako mpaka leomnavuka mto kwa kuogelea???

Narudia tena, tija ya mradi ndio issue kubwa. Hii ndio iliyochangia niseme wangalau angejenga chuo kikuu mgekuwa kwenye nafasi nzuri ya kumtetea. Kuna ujenzi wa meli na ufufuaji wa meli huko ziwa Victoria, mbona hakuna kelele kwenye hilo, na hata kelele ikitokea ni rahisi nyie watetezi wake kuwa na utetezi wenye mashiko. Utetezi wa uwanja wa ndege wa 40b kijijini kwa rais, huku 99% ya watu wa huko hawana uwezo wa kuutumia usafiri huo, ni wendawazimu wa kujitakia.
 
You see...you have jumped on something in the middle of it. Follow my chat with JokaKuu and then come and make a comment

Tell me numbers post as I don't go in every post, I just read rondomly, and give out my opinions accordingly.
 
ATCL ina madeni mengi sana. Kama ndege zingeinyizwa huko lazima zingechukuliwa na wadai. Airline nyingi zina hasara. Ina maana sababu ya hasara ndio hatuhitaji ndege?
Tunahitaji sana ndege. Kabla ya huu mradi wa Magufuli, ndege zilikuwepo. Biashara ya ndege ni biashara kichaa, tata sana na inahitaji umakini. Ugomvi wetu mnaotuita wapingaji kumbe tunachofanya ni kuhoji ili pesa za walipa kodi zitumike kwa manufaa ni serikali kujiingiza katika biashara kichaa kama hii wakati wangewaachia sekta binafsi wakaendelea kutoa huduma na serikali ikafanya kazi ya kuimarisha viwanja na miundombinu nyingine na kukusanya kodi. Ikitokea hasara, inakuwa kwa hao hao mashirika binafsi na sio kwa mlipa kodi mTz. Hizo pesa alizowekeza katika atcl kama angeziwekeza katika kilimo, sasa hivi tungekuwa tunahesabu faida tuuuuu. Badala yake ni hasara 'mbere kwa mbere' (chambilecho mataga) na hakuna atakayejua ni hasara kiasi gani (kwa sababu ni mradi wa Magufuli)!!!. Magufuli anasumbuliwa sana na ushamba wa kiutawala kwa kufikiri kwa vile ni rais basi pesa yote ya serikali ni ya Magufuli na anaweza kuitumia anavyotaka alimradi anawapumbaza wananchi kuwa ni mtu wa maendeleo. Serikali kufanya biashara ya usafiri wa ndege za abiria kunaleta maendeleo gani?
 
Kila eneo na ke
Narudia tena, tija ya mradi ndio issue kubwa. Hii ndio iliyochangia niseme wangalau angejenga chuo kikuu mgekuwa kwenye nafasi nzuri ya kumtetea. Kuna ujenzi wa meli na ufufuaji wa meli huko ziwa Victoria, mbona hakuna kelele kwenye hilo, na hata kelele ikitokea ni rahisi nyie watetezi wake kuwa na utetezi wenye mashiko. Utetezi wa uwanja wa ndege wa 40b kijijini kwa rais, huku 99% ya watu wa huko hawana uwezo wa kuutumia usafiri huo, ni wendawazimu wa kujitakia.
Kila eneo na kero zakeee, aliejenga barabara au darajaa ilikua ndio kero au uhitaji wa eneo lileee,

Kwa akili zenu hata angejenga chuokikuuu, mbona mungesema tuuuu .

Hicho chuo kikuu jengeni kwenuuu, ila nikwamba uwanja wa ndege chato ni wa watanzania woteeeee. Kibaya ingekuwa ni niuwanja wa mtu binafsi, hapo ndo tungesema wote kuwa haifai.
 
Hoja kama hizi zinawaondolea heshima makamanda wenzangu. Kipindi hiki cha Corona unategemea Atcl wapate faida?
Atcl kwa nini isikaguliwe na CAG wakati ni shirika la umma? Tunajiabisha tuwe makini kujibu hoja
Wewe ndio hujui chochote!! Kwani hiyo hasara toka ripoti ya CAG ya mwaka 2017/2018 si ilionyeshwa? Huko kulikuwa na corona? Unakuja kupangua hoja wakati hujui chochote?!! Hujui haya kama mahesabu ya ATCL, yalihamishiwa vote 20!!!!ambayo CAG hana mamalaka ya kuikagua?!!
 
Watanzania tunahitaji mdahalo wa kitaifa, wagombea wapimwe uwezo wao na watanzania tuchague kiongozi tunaemtaka.
 
Kila eneo na ke
Kila eneo na kero zakeee, aliejenga barabara au darajaa ilikua ndio kero au uhitaji wa eneo lileee,

Kwa akili zenu hata angejenga chuokikuuu, mbona mungesema tuuuu .

Hicho chuo kikuu jengeni kwenuuu, ila nikwamba uwanja wa ndege chato ni wa watanzania woteeeee. Kibaya ingekuwa ni niuwanja wa mtu binafsi, hapo ndo tungesema wote kuwa haifai.

Kwahiyo kero ya wananchi wa Chato ilikuwa ni uwanja wa ndege? Unatumia nguvu kubwa maana unatetea jambo lisilo na tija. Ni vyema ungekaa kimya tu.
 
kwa mujibu wa lissu Chato isipelekewe maendeleo yoyote kisa Rais ametokea huko
 
KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??
Kuna kampuni yoyote ya ndege yenye official routes kutua hapo?.
 
Kwan
Kwahiyo kero ya wananchi wa Chato ilikuwa ni uwanja wa ndege? Unatumia nguvu kubwa maana unatetea jambo lisilo na tija. Ni vyema ungekaa kimya tu.
Kwani wao hawana hadhi ya kuwa na uwanja wa ndege mkoa mzima wa geita?
Au kwenu tuuu ndo pana hadhi ya kuwa na uwanja wa ndege??

Au chato sio Tanzania??
Kwa nini chadomo mumevurugwa namna hiyooo???
 
Mhh watu wanaweza pigana ngumi kwenye mdahalo jmn
Naomba Ambulance ziwe jirani siku ya tukio
 
Kw
Kuna kampuni yoyote ya ndege yenye official routes kutua hapo?.
Kwani viwanja vyote vinavyojengwa, mikoa yote na wilaya zake, vinamakampuni yaliyokwisha sajiriwa kwa viwanja hivyo??

Haaaaaa haaaaaa. Upinzani wa kipindi hiki umekuwa janga la taifa kwelikweliiii.
 
Back
Top Bottom