Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
hivi mwalimu nyerere alinunua ndege, na kujenga miundo mbinu akitaka faida ya hapohapo??Siyo upinzani, ni facts. Kiwanja hakijengwi kwa kazi hiyo, anyway. Ingekuwa ni private air strip, Sawa. Toka umekamilika ni almost 2 years, mbona hizo ndege haziendi huko. Au zitaanza safari za Chato lini!?
Kumbe we we shida yako ulitaka mradi wa kuanzisha Leo kesho uwebilionea??
Umejifunza wapi we we biashara ya hivyo??
Kwahyo kwa akili yako huna atavission ya maendeleo ata kidogooo.