Alwatan Mabruki
Senior Member
- Sep 20, 2020
- 132
- 116
NI KWELIamewataka watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea.
Hizo ndio propaganda zenyewe sasa!..kuna mwanasiasa mbaguzi na mwenye chuki nchi hii kumzidi Jiwe? Jiwe aliwaambia wapiga kura wakichagua chama tofauti na ccm hatawapelekea miradi ya maendeleo. Huo ni ubaguzi, na ni siasa za chuki.
Huyu ndie mbaguzi nambari one Tanzania halafu anasema nini? Lissu ndiye mwenye mamlaka ya kusema hayo sio jiwe.Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea...
Ulitaka awafanyie nini?Amewabagua kaskazini ajawafanyia chochote amewabagua anaenda kuwaomba kura wao ni muhimu wkt wa uchaguzi tu
Ulitaka awafanyie nini?
Kwani hats likiwa jiji wakazi wake watagaiwa hela? Ajira zitatolewa na ukaliwamaisha utapungua? Mimi siwapendi sana wanasiasa manake wanaomba huku wanatukana. Sasa hapo ndio atapewa kura ili pawe jiji?Nimeshangaa Aliposema Hawezi Kuifanya Moshi Kuwa Jiji Sababu Ilikuwa Chini Ya Upinzani
Wakichagua Ccm Itapewa Hadhi Hiyo!!!πππ€£
Kuna Mambo Yanatia Kinyaa ππππ
Kwaiyo hawezi kunadi chama chake hadi awatishie wananchi kwa kauli za kibaguzi? Kiongozi mwema asiye m'baguzi hawezi kuwachimbia wananchi mikwara ya kutowapelekea maendeleo maeneo ambayo hakitachaguliwa Chama chake.Hizo ndio propaganda zenyewe sasa!
Yeye alikuwa anapiga kampeni, sasa ulitaka aseme chagueni yeyote wakati anakinadi chama chake cha ccm?
Kwani Lisu anaposema msichague wana ccm huwa anakuwa anaeneza ubaguzi