Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli hajawahi kushindwa, hatashindwa

Saa Mbovu.
 
Umesema kwamba hajawahi kushindwa na hatashindwa halafu unatoa rai kwa kutuomba sisi tumchague! thats ironic!

Nilifikiri ungesema tumchague au tusimchague atashinda tu maana sifa ulizompa mpa hapo kwenye title ni sifa za Mungu!
 
Hebu peleka ujinga kule. Mtu anayeshindwa kuongea Kiingereza ambacho amejifundishia "PhD" utasemaje hajawahi kushindwa 🤣
 
Wakuu, haijalishi nawakera kiasi gani lkn kuna kiongozi mmoja aliwahi kusema kwamba - "ukiwa kiongozi una vyombo vya ulinzi, una dola, na viongozi wa chama makini kushindwa ni aibu".

Nami kwa muktadha huo nasema siwezi kuwa Rais ninayetetea nafasi yangu halafu ukanishinda kiurahisi - tusubiri siti za mbele kufikia tarehe 30 Oktoba 2020
 
Mtaje huyo Kiongozi mmoja mpuuzi aliyesema hayo maneno
 

Kipi amewahi shinda maishani, ubunge alijipitisha bila kupingwa,uraisi alibebwa na Ben, academic alibebwa thus yule akapotea.Tupe mfano kipi?
 
Yeye ni nani asishindwe na umesema hatowahi kushindwa! Ana maagano na Mtukufu Mwenyezi Mungu? Au unafikiri kwa vile anapora mali za wanachi na anapofadhili mambo ya ajabu watendewe watu wengine ni jambo ambalo Mungu analikubari?
madai yake akienda mbinguni atapewa kitengo .....mika mitano tumeona ukichaa wa hali ya juu
 
Jukwaa la siasa mkuu, huko kwenye kutongoza, shule sijafika - ukiwa na kipande cha nyota yake lzm ufike mbali.

Nilichosema kabla ya uchaguzi ndiyo majibu leo
 
Mkuu ona ulivyo aibika maskini. Unaishi bila ya amani ndani ya nchi yako lakini unaishi tu polee sanaaa.
 
Taifa limeandika tena histotia, kwamba nguli asiyeshindwa jambo Dkt Magufuli leo:-
= Kaifanya Zanzibar kuwa kitu kimoja kwa kuwezesha Serikali ya Muungano,
= Kaifanya Tanzania kuwa kitu kimoja
= Heko Dkt Magufuli, Heko Dkt Mwingi, Heko Seif
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…