Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli hajawahi kushindwa, hatashindwa

Hoja za Mzee wa Kujiteka
 
Labda ulikuwa bado una chunga mbuzi lakini tukueleze Magu alishindwa mara mbili na hayati Kabuye.
Alipata upenyo tuu pale Jimbo lilipo gawanywa
 
Mitano tu chali.
 
Huytu alikuwa mwoga sana hivyo hakukubali kushindana na yoyote!
Muongo kupindukia!
 
Ameshindwa au ameshinda,,? Mungu wetu aliye hai ametuondolea sheitwani
 
HAJAWAHI KUSHINDWA ila MUNGU ni FUNDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…