Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Hiki ni kipindi changu cha mwisho kuliongoza Taifa

1. Urais nu mgumu, mimi nililazimishwa tu natamani ingekuwa hata mwaka mmoja.

2. Nilikuwa najaribu tu nikasukumizwa, kazi ngumuuu. Tumtangulize mungu mbereeeeee

""Hatimaye KAPORA UCHAGUZI"""

Sasa hivi hakuna mwenye UJASIRI wa kusema MITANO TENA.

Kila Mtu hajui Itakuwa MINGAPI.
 
Rais Magufuli ni mwaminifu hatuna wasi wasi tunajua ataheshimu katiba..na Tanzania itamkumbuka vizazi hadi vizazi kwa MAENDELEO ya kweli.

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Hakika....

Miaka yake 5 ya mwisho kwani isingekuwa hivyo mh.Ally Kessi wa Nkasi angerudi bungeni kuhanikiza MSIMAMO WAKE Wa "atake asitake".

Kila la heri kwake JPM!!
 
Demokrasia sio Lissu Kushinda, sio Mbowe Kushinda, sio Zitto Kushinda, Bali Demokrasia ni Wananchi Kuamua.
ssu
 
"Mimi nilishatangaza kuwa ni kipindi changu cha mwisho lakini Bunge limenilazimisha kuendelea kuongoza" alisikika jamaa mmoja akisema wakati huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…