mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
"Maneno NI rahisi daima,kuliko matendo"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakutana wewe na DJ.Tukutane barabarani kesho kudai demokrasia iliyopokwa na watawala mafedhuli.
Kwahiyo ndiye mwakuziWakati huo huo, MBOWE NA CHADEMA NA UPINZANI WOTE WALIIMBA HUU WIMBO:
TANZANIA INAHITAJI RAIS DICTATOR.....
Hata hao kina Gadaff walianza taratibu taratibu. Siku wakisikimika watu wao wote na mifumo yao yote ikawa full functional hapo sasa ndio hata ninyi mashabiki zake mtaimbw haleluya.K
Kama kuwaita marais Kuwa ni madikteta basi hatobaki hata mmoja hata wazee wa demokrasia pale kwa bwana TRUMP.....
Udikteta na Mkono wa chuma unadhihirishwa na makubwa ya kihalifu yanayofanyika dhidi ya BINADAMU NA RAIA....
Yaani ya kina Hitler,Mussolini,Sadam,Gaddafi,Mobutu et al unayafananisha na Sintofahamu zetu za hapa na pale?!!
Ipo siku atauzungumza ukweli kwa yaliyotokea kwenye uchaguzi huu.Rais John Magufuli ameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kufanikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 na kubainisha kuwa baada ya kuibuka na ushindi ataliongoza Taifa la Tanzania kwa miaka mingine mitano na ndio itakuwa ya mwisho.
Rais Magufuli ameyasema hayo leo Jumapili Novemba Mosi, 2020 jijini Dodoma baada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi na mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage.
Amewashukuru Watanzania kwa ushindi huo na kusema ana deni kubwa la kuwalipa kwa imani kubwa waliyoionyesha kumchagua tena kuliongoza Taifa hilo kwa miaka mingine mitano.
“Ninaipongeza Tume ya Uchaguzi kwa kufanikisha uchaguzi huu kwa kuwahisha matokeo. Ninawashukuru Watanzania kwa kunichagua tena…, hiki ni kipindi cha pili cha mwisho.”
“Mmetupa ushindi mkubwa sana ambao umetuachia deni kubwa sana, ninamuomba Mungu anisaidie katika kipindi hiki cha pili tuweze kukidhi haja za Watanzania,” amesema Rais Magufuli ambaye ameshinda uchaguzi kwa kura 12,516,252.
Amesema ushindi huo siyo wake peke yake wala wa chama chake bali ni wa Watanzania wote. Amesema atawatumikia wote bila kujali wanapotoka, dini au kabila.
tofautisha kati ya vitabu/hansard na miswadaUmeshasahau ya yeye kusema analala usiku sana kwa Sababu ya kusoma VITABU VYA BUNGE NA SERIKALI na kufikia kuvifanya MITO kitandani pake?!!!
ulifikiri mimi ni mmoja wa wale mnaowapoteza?Kamanda upo?
Mbowe siyo msemaji wa Watanzania. Yeye na chama chake wataputa ila Tanzania itabaki.Wakati huo huo, MBOWE NA CHADEMA NA UPINZANI WOTE WALIIMBA HUU WIMBO:
TANZANIA INAHITAJI RAIS DICTATOR.....
Dada keshi nenda kaandamane hujazuiwa!Viongozi wetu washatoa maelekezo nikesho, mtupige hizo risasi zenu Kisha tuone kama nyie mtaisha kwa amani na mustarehe.
Nadhani ujumbe huu Ni wa hao wanaohamasisha fujo Kwa mgongo wa amaniKuna wasouth Afrikan wakishirikiana na makaburu nahawakuona umuhimu wakuandamana lkn leo hii wanafurahia kuondoka kwa ubaguzi.kwahio watu kama wewe ambao wanaangalia matumbo yao hawakosekani katika jamii.
Kama wewe unafanya kilimo hongera, lkn nachofahamu pia naweza kukuajiri wewe pamoja mumeo namwisho wasiku nikawalipa.Nadhani ujumbe huu Ni wa hao wanaohamasisha fujo Kwa mgongo wa amani
Vyeo vinawafanya kutaka kuwateketeza wanyonge
Miaka 15 bungen....haya wew unajishughulisha Na nini ...
Mimi nafanya kilimo Na kimenitoa kweli kweli
Nyie mnaokula kisa baba zenu niwajumbe wanyumba kumi kupitia ccm, tunawatarifu tu, wenye nchi kesho tuko barabarani kwahio mjiandae.Dada keshi nenda kaandamane hujazuiwa!
Najua unakereka ila huna cha kufanya. Karibu jamhuri stadium kumuapisha rais aliyechaguliwa kwa kishindo na watanzaniaMbowe siyo msemaji wa Watanzania. Yeye na chama chake wataputa ila Tanzania itabaki.
Sasa wewe endelea kulichekea Dikteta Kwasababu ya chuki zako kwa Mbowe.
Utakuja kushtuka wote tushafungwa mikono na micuu hatuwezi kutembea tena.
Miswada inaandikwa HEWANI?!!tofautisha kati ya vitabu/hansard na miswada
Mkuu utavunja ndoa ya MTU mkuu,usitoe siri.Kama uliyochapwa na Mwigulu namimi nije nikuchape nayo hio kazi?.
Kumbe unaweza kuajiri watu Sasa kwann hizo nguvu usizitunze ili usije shtukia kilema chako cha ujinga wa kesho kikafunga hata miradi yako Na pesa zote kuishia kwenye madawa Na kuchangia Pato la taifaKama wewe unafanya kilimo hongera, lkn nachofahamu pia naweza kukuajiri wewe pamoja mumeo namwisho wasiku nikawalipa.
Well kumbe hajakuwa dikteta bado..Sawa nimekupata mkuu Wangu...Kwahiyo ndiye mwakuzi
Hata hao kina Gadaff walianza taratibu taratibu. Siku wakisikimika watu wao wote na mifumo yao yote ikawa full functional hapo sasa ndio hata ninyi mashabiki zake mtaimbw haleluya.
Wewe kama hufanyi biashara nahujaguswa nahuyu dikteta basi utakuwa hujafikia hata hadhi yakuitwa machinga. Endelea kuneemeka namfumo kandamizi kwa sababu unakunufaisha, lkn sisi ambao tunabambikizwa kodi na serikali yahuyu jamaa kesho wote tutakuwa barabarani kuhakikisha demokrasia inashamiri ili tuweze kufanya biashara zetu katika mazingira rafiki.Kumbe unaweza kuajiri watu Sasa kwann hizo nguvu usizitunze ili usije shtukia kilema chako cha ujinga wa kesho kikafunga hata miradi yako Na pesa zote kuishia kwenye madawa Na kuchangia Pato la taifa
Sharti asisaini akisaini atakuwa amekubali ndo tutazidi chakaaKama Bunge likiamua kumuongezea muda kwa kubandika kiraka katiba nadhani muheshimiwa Rais atakubali.