Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Hiki ni kipindi changu cha mwisho kuliongoza Taifa

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Hiki ni kipindi changu cha mwisho kuliongoza Taifa

Tukutane barabarani kesho kudai demokrasia iliyopokwa na watawala mafedhuli.
Yani wewe kweli Fala tena Fala haswa, kwa hiyo kwa vile mbowe, bwana kabwe, babu madevu, na Aunty Li na genge lote la wahuni wameliwa vichwa na wananchi, demokrasia haipo acha ulofa wewe demokrasia inampa kila mtu haki ya kuchagua na kuchaguliwa wengine wamechaguliwa hilo genge la wahuni wasugue benchi kwanza hadi makalio yaote gaga, hakuna atakaye andamana
 
Rais John Magufuli ameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kufanikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 na kubainisha kuwa baada ya kuibuka na ushindi ataliongoza Taifa la Tanzania kwa miaka mingine mitano na ndio itakuwa ya mwisho.

Rais Magufuli ameyasema hayo leo Jumapili Novemba Mosi, 2020 jijini Dodoma baada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi na mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage.

Amewashukuru Watanzania kwa ushindi huo na kusema ana deni kubwa la kuwalipa kwa imani kubwa waliyoionyesha kumchagua tena kuliongoza Taifa hilo kwa miaka mingine mitano.

“Ninaipongeza Tume ya Uchaguzi kwa kufanikisha uchaguzi huu kwa kuwahisha matokeo. Ninawashukuru Watanzania kwa kunichagua tena…, hiki ni kipindi cha pili cha mwisho.”

“Mmetupa ushindi mkubwa sana ambao umetuachia deni kubwa sana, ninamuomba Mungu anisaidie katika kipindi hiki cha pili tuweze kukidhi haja za Watanzania,” amesema Rais Magufuli ambaye ameshinda uchaguzi kwa kura 12,516,252.

Amesema ushindi huo siyo wake peke yake wala wa chama chake bali ni wa Watanzania wote. Amesema atawatumikia wote bila kujali wanapotoka, dini au kabila.
Mwaka 2012 dikteta mwenzake Kagame naye alisema hivi hivi baada ya kushinda uchaguzi. The rest is history!
 
Tukutane barabarani kesho kudai demokrasia iliyopokwa na watawala mafedhuli.
Demokrasia gani wakati wapiga kura wenu hawakwenda kupiga kura?

Fanyeni kazi achana na siasa ni pasua kichwa.

Labda ungesema tuandamane kudai mitandao ya kijamii irudi watu tuendelee kupiga hela
 
Demokrasia gani wakati wapiga kura wenu hawakwenda kupiga kura?

Fanyeni kazi achana na siasa ni pasua kichwa.

Labda ungesema tuandamane kudai mitandao ya kijamii irudi watu tuendelee kupiga hela
Wapiga kura hawakwenda lkn kura fake zilienda?.
 
Yani wewe kweli Fala tena Fala haswa, kwa hiyo kwa vile mbowe, bwana kabwe, babu madevu, na Aunty Li na genge lote la wahuni wameliwa vichwa na wananchi, demokrasia haipo acha ulofa wewe demokrasia inampa kila mtu haki ya kuchagua na kuchaguliwa wengine wamechaguliwa hilo genge la wahuni wasugue benchi kwanza hadi makalio yaote gaga, hakuna atakaye andamana
Tusubir kesho we pimbi. Kipindi Wakina Kawawa wanapigania Uhuru mzee wako au babu yako hakushiriki lkn kunakipindi ulifurahia nchi, kwahio hata kesho sitegemei pimbi kama wewe uwepo.
 
Pongezi nyingi ziende kwa Kwa Rais Magufuli na Chama cha mapinduzi kwa ushindi huu wa kishindo.
Tunasema vitendo vinasauti kuu
Watanzania wameona mafanikio na wameamua kumchagua tena Magufuli.
 
"Mimi nilishatangaza kuwa ni kipindi changu cha mwisho lakini Bunge limenilazimisha kuendelea kuongoza" alisikika jamaa mmoja akisema wakati huo

aiseee kati ya sku ntakua na furaha sana ndo hii daaah, maaana antukata stimu sana sjui kipindi cha mwisho wakati sisi ndo tunapiga kura
 
Ikifika 2025 tunaanzisha mradi Mkubwa sana wa kupeleka bahari ya hindi Chato ili meli kubwa ziweze fika Chato, so watz tuvumilie tumpe miaka 5 tena Hadi 2030 ili kukamilisha mradi huu muhimu kwa maendeleo ya taifa.
 
🔴BREAKING NEWZ: 🔴
‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️TAREHE 02/11/2020 SIKU YA USAFI TANZANIA NZIMA

🇹🇿JESHI LA WANANCHI TANZANIA JWTZ LIMEPANGA KUFANYA USAFI NCHI NZIMA KUANZIA KESHO TAREHE 02/11/2020.

🇹🇿USAFI HUO UMEPANGWA KUFAYIKA KUANZIA ALFAJILI YA TAREHE 02 MIKOA YOTE YA BARA NA VISIWANI. TAARIFA ZINAELEZA KUWA MPANGO HUO UTAKUWA ENDELEVU HADI PALE HALI YA USAFI UTAKAPOTENGEMAA NA KURIDHISHA.

🇹🇿JWTZ WAMEAMUA KUJITOLEA KUWATUMIKIA WANANCHI WOTE, USAFI HUO UTAFANYIKA MIKOA YOTE WILAYA ZOTE MIJINI NA VIJIJINI.

🇹🇿JWTZ WAMEOMBA USHIRIKIANO KUTOKA KWA WANANCHI WOTE.💯💯💯💯💯💯💯💯💯
 
Tanzania yahitaji Amani zaidi na Upendo kuliko utofauti wa kisiasa, Nchi imetulia mpaka Mataifa mengine yanatutamani ila hayatasema,Waeke miundombinu tufanye kazi. Tusilaumu..ili wasituingilie ..
Daima Tanzania.
 
Hahaha anaogopa nini au nani hadi atutangazie?!

Atawale tu hadi mauti itakapomchukua.
 
Back
Top Bottom