ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii anaanzaje kukataaakwajinsi unavyomuona huyu Dingi anawezakweli kukataa kusaini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii anaanzaje kukataaakwajinsi unavyomuona huyu Dingi anawezakweli kukataa kusaini?
Ni wapinzani wanakwamisha maendeleo Au ni mwenyekiti wa CCM anagoma kupeleka maendeleo kwenye majimbo yanayo ongozwa na wapinzani?!watanzania wameona uwakilishi wa vyama vingine unakwamisha shughuli za maendeleo. ndio maana ushindi wa kishindo umeenda kwa CHAMA CHA MAPINDUZI
1. Urais nu mgumu, mimi nililazimishwa tu natamani ingekuwa hata mwaka mmoja.
2. Nilikuwa najaribu tu nikasukumizwa, kazi ngumuuu. Tumtangulize mungu mbereeeeee
""Hatimaye KAPORA UCHAGUZI"""
Sasa hivi hakuna mwenye UJASIRI wa kusema MITANO TENA.
Kila Mtu hajui Itakuwa MINGAPI.
basi ndo imeisha hiyoo.Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii anaanzaje kukataaa
Hahaha anaogopa nini au nani hadi atutangazie?!
Atawale tu hadi mauti itakapomchukua.
Hahaha katiba ndio nini, na yeye yuko juu ya sheria zote?!Kamanda hiyo ni kwa mujibu wa Katiba
Tumuamini hataki tena?? 😅 😅 😅1. Urais nu mgumu, mimi nililazimishwa tu natamani ingekuwa hata mwaka mmoja.
2. Nilikuwa najaribu tu nikasukumizwa, kazi ngumuuu. Tumtangulize mungu mbereeeeee
""Hatimaye KAPORA UCHAGUZI"""
Sasa hivi hakuna mwenye UJASIRI wa kusema MITANO TENA.
Kila Mtu hajui Itakuwa MINGAPI.
Laiti ungalijua lililopangwa, imagine mkawa regarded kama wavamizi kutoka nje. Just imagine wakati unalia mguuuu mguuuu, kiunooo uwiiii unasikia mlio wa taya kwaaach, taya limevunjwa.Tusubir kesho we pimbi. Kipindi Wakina Kawawa wanapigania Uhuru mzee wako au babu yako hakushiriki lkn kunakipindi ulifurahia nchi, kwahio hata kesho sitegemei pimbi kama wewe uwepo.
Chapa kazi
Nakuelewa VemaKazi sio kigezo cha kunyima haki watu.
Mzee kapambana huyu lakini kawa mbuzi wa kafara.
Moja wa viongozi wako alikata "two ways ticket" kutoka Brussels to Dar na Kurudi Nyumbani Ubelgiji...ingia barabarani kwa shida zako tu ili kwenu wavune matokeo!Viongozi wetu washatoa maelekezo nikesho, mtupige hizo risasi zenu Kisha tuone kama nyie mtaisha kwa amani na mustarehe.
Hahaha katiba ndio nini, na yeye yuko juu ya sheria zote?!
Atawale milele, nchi yake hii.
Akitoka wanaye watakuwa wamekua watarithi mali ya baba.
Tukutane kesho.Moja wa viongozi wako alikata "two ways ticket" kutoka Brussels to Dar na Kurudi Ngumbani Ubelgiji...ingia barabarani kwa shida zako tu ili kwenu wavune matokeo!