Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Hiki ni kipindi changu cha mwisho kuliongoza Taifa

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Hiki ni kipindi changu cha mwisho kuliongoza Taifa

Ukishasimika watu wako ukajimilikisha mifumo yote ya maamuzi, ukauwa demokrasia, ukakamata ka kikundi kako kadogo Kama wanufaika wa uwepo wako,sasa jibu gani msilolielewa watz.
Kuongea hata yeyeto tu uongea, mbona kagame ameongea Sana agombei tena.
 
Wewe kama hufanyi biashara nahujaguswa nahuyu dikteta basi utakuwa hujafikia hata hadhi yakuitwa machinga. Endelea kuneemeka namfumo kandamizi kwa sababu unakunufaisha, lkn sisi ambao tunabambikizwa kodi na serikali yahuyu jamaa kesho wote tutakuwa barabarani kuhakikisha demokrasia inashamiri ili tuweze kufanya biashara zetu katika mazingira rafiki.
Mimi sio machinga Ila Ni MKULIMA
Sasa wew kaandame ukauze maji Na biashara yako peponi
R.I.P brother
 
Well kumbe hajakuwa dikteta bado..Sawa nimekupata mkuu Wangu...

Haya sasa hayo mengine ya Sintofahamu za hapa na pale na kutoridhishwa na baadhi ya mambo mna haki ya kuongea na kuAIR VIEWS zenu Kama raia sawasawa na hivi unavyofanya hapa!!!
Magufuli ni yesu, hajawahi kukosea
 

Attachments

  • IMG_20200921_190239.jpg
    IMG_20200921_190239.jpg
    25.6 KB · Views: 1
Mimi sio machinga Ila Ni MKULIMA
Sasa wew kaandame ukauze maji Na biashara yako peponi
R.I.P brother
Asante Salha255, hata kipindi kina kawawa, Nyerele wanapambana kuleta Uhuru sio wote walioshiriki. Kwahio wewe kaa pembeni wengine tutapambana kwa niaba yako nakizazi chako.
 
Nenda kahamasishe ukoo wako tupo busy na kazi sasa tulishafanya maamuzi tarehe 28 na unayoyaona ndio matokeo ya maamuzi yetu
Haya Asante tusubiri kesho yamebaki masaa, ili hizo kazi zako uzifanye vizuri.
 
Waache kupiga watu kama wanajiamini na ushindi wao. Wamembambikizia kesi Mazrui kesi ya kitoto sana
 
Ndiyo maana huko Zanzibar Jussa na kikundi chake kilichokuwa na mabomu kimekamatwa na kinashughulikiwa ili kiseme vizuri hayo mabomu waliyatoa wapi na walikuwa wanataka kuyatumia wapi. Hivyo ujumbe wa ubalozi wa Canada umeshaanza kushughulikiwa kama kawaida.

Jussa na wenzie ni watu muhimu sana kwa sasa kulisaidia taifa kujua wametumwa na nani na malengo yao haswa ni yepi
 
Rais John Magufuli ameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kufanikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 na kubainisha kuwa baada ya kuibuka na ushindi ataliongoza Taifa la Tanzania kwa miaka mingine mitano na ndio itakuwa ya mwisho.

Rais Magufuli ameyasema hayo leo Jumapili Novemba Mosi, 2020 jijini Dodoma baada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi na mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage.

Amewashukuru Watanzania kwa ushindi huo na kusema ana deni kubwa la kuwalipa kwa imani kubwa waliyoionyesha kumchagua tena kuliongoza Taifa hilo kwa miaka mingine mitano.

“Ninaipongeza Tume ya Uchaguzi kwa kufanikisha uchaguzi huu kwa kuwahisha matokeo. Ninawashukuru Watanzania kwa kunichagua tena…, hiki ni kipindi cha pili cha mwisho.”

“Mmetupa ushindi mkubwa sana ambao umetuachia deni kubwa sana, ninamuomba Mungu anisaidie katika kipindi hiki cha pili tuweze kukidhi haja za Watanzania,” amesema Rais Magufuli ambaye ameshinda uchaguzi kwa kura 12,516,252.

Amesema ushindi huo siyo wake peke yake wala wa chama chake bali ni wa Watanzania wote. Amesema atawatumikia wote bila kujali wanapotoka, dini au kabila.
Huyu ni Rais wa mfano na wa aina yake, hakika kura yangu nimeipiga sehemu sahihi kabisa.
LONG LIVE MAGUFULI
LONG LIVE MAGUFULI
 
Back
Top Bottom