Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Hivi kweli rais wetu Magufuli amefikia levels za UDIKTETA?!!really?!!!MADIKTETA yote duniani huwa yakimalizana na watu pembeni, kitakachofuata ni watu wake wa karibu.
It's so overrated...
Nakumbuka Mh.Kikwete alifikia Kuitwa dikteta na baadhi ya wanasiasa ikafikia siku akasema "hivi kweli mm ni dikteta"?!!!
Akaendelea kusema "katiba yetu imenipa mamlaka makubwa ndani ya ile PRESIDENTIAL DECREE na hakika sijatumia hata power kubwa ndani ya hii katiba yetu" mwisho wa nukuu.
Tunayakuza mambo kwa kuchafuana kulikopindukia.....