Sasa hawajapandishiwa Miaka Mi5 wanafunzi wanakaa kwenye madawati?Haki ni pamoja na usawa, huwezi zungumzia haki wakati usawa hakuna, yani wafanyakazi wawe na mishahara mikubwa wakati wanafunzi wanakaa chini, wawe na laptop wakati hatuna maabara, mishahara yenyewe ikiwa mikubwa watashindwa kujenga na kununua magari kwasababu miundombinu ya kuendesha magari itakuwa mibovu, watashindwa kusafirisha vifaa vya ujenzi kwani gharama itakuwa kubwa sana kutokana na usafirishaji ndio maana tunajenga reli, mabwawa ya umeme n.k
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kwahiyo hajapandisha mishahara!Sasa mbona hapo anasema amepandisha mishahara???Haki ni pamoja na usawa, huwezi zungumzia haki wakati usawa hakuna, yani wafanyakazi wawe na mishahara mikubwa wakati wanafunzi wanakaa chini, wawe na laptop wakati hatuna maabara, mishahara yenyewe ikiwa mikubwa watashindwa kujenga na kununua magari kwasababu miundombinu ya kuendesha magari itakuwa mibovu, watashindwa kusafirisha vifaa vya ujenzi kwani gharama itakuwa kubwa sana kutokana na usafirishaji ndio maana tunajenga reli, mabwawa ya umeme n.k
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hawawezi kumaliza tatizo kwa miaka mitano either wangebase kwenye madawati tu sasa bahati mbaya majengo kwa maana ya madarasa, nyumba za walimu, vyoo nayo ni mabovu sasa tukitengeneza madawati wanafunzi watakaa nje?Sasa hawajapandishiwa Miaka Mi5 wanafunzi wanakaa kwenye madawati?
Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
Tatizo wao wanataka tuongeze sent ila sie twapunguza paye percentage tu so ni njia indirect ya kuongeza mshahara.Kwahiyo hajapandisha mishahara!Sasa mbona hapo anasema amepandisha mishahara???
Kama sielewi vile!
Haki ni pamoja na usawa, huwezi zungumzia haki wakati usawa hakuna, yani wafanyakazi wawe na mishahara mikubwa wakati wanafunzi wanakaa chini, wawe na laptop wakati hatuna maabara, mishahara yenyewe ikiwa mikubwa watashindwa kujenga na kununua magari kwasababu miundombinu ya kuendesha magari itakuwa mibovu, watashindwa kusafirisha vifaa vya ujenzi kwani gharama itakuwa kubwa sana kutokana na usafirishaji ndio maana tunajenga reli, mabwawa ya umeme n.k
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mtu mwongo ni mongo tu hiyo PAYE ni ya Zimbabwe.“Mtu anakuja anasema mbona hamjapandisha mishahara?, ukishampandisha Mtu daraja mshahara wake haubadiliki?, tumerekebisha PAE kutoka 11% hadi 9%, tumelipa malimbikizo ya Wafanyakazi zaidi ya Bil 500 hiyo sio fedha!?”- JPM akiwa Mara
#MillardAyoUPDATES
Unajua kupunguza PAYE haibadili chochote kwenye mafao yako?Na hapo ndio wafanyakazi kilio chao kilipo!Tatizo wao wanataka tuongeze sent ila sie twapunguza paye percentage tu so ni njia indirect ya kuongeza mshahara.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ndio muda muafaka sasa wa hao wanafunzi mliowatengenezea madawati wawapigie kura.Haki ni pamoja na usawa, huwezi zungumzia haki wakati usawa hakuna, yani wafanyakazi wawe na mishahara mikubwa wakati wanafunzi wanakaa chini, wawe na laptop wakati hatuna maabara, mishahara yenyewe ikiwa mikubwa watashindwa kujenga na kununua magari kwasababu miundombinu ya kuendesha magari itakuwa mibovu, watashindwa kusafirisha vifaa vya ujenzi kwani gharama itakuwa kubwa sana kutokana na usafirishaji ndio maana tunajenga reli, mabwawa ya umeme n.k
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kuna siku Zitto alisema Awamu hii wanafanya vitu kama dunia inaisha kesho.Hawawezi kumaliza tatizo kwa miaka mitano either wangebase kwenye madawati tu sasa bahati mbaya majengo kwa maana ya madarasa, nyumba za walimu, vyoo nayo ni mabovu sasa tukitengeneza madawati wanafunzi watakaa nje?
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Twende nae wapi wakati amewaita takatakaPoleni wafanyakazi ,twende na Lissu
Kama hela haijaingia kwenye basic salary yako basi hujasaidiwa lolote.Tatizo wao wanataka tuongeze sent ila sie twapunguza paye percentage tu so ni njia indirect ya kuongeza mshahara.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app