Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Huwezi ukaacha kujenga reli, ukasema hii hela naenda kupandisha mishahara

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Huwezi ukaacha kujenga reli, ukasema hii hela naenda kupandisha mishahara

Twende nae wapi wakati amewaita takataka
Twende nae kwa mama Nyerere.
Screenshot_2020-09-05-14-15-32-1.jpg
 
Anachokisema Magufuli ni very logical,

Reli ni kwa manufaa ya wote,

Hata vizazi vya baadae vitanufaika nayo.
 
Yaani kuna watu wanakiburi mpaka basi unajuwa wafanyakazi wa umma wapo hoi na kijimshahara cha miss buza lakini unatoa kiburi juu yao halafu unawaomba wakupe kura zao?. Wafanyakazi akunyimae na nyinyi mnyimeni

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Anachokisema Magufuli ni very logical,

Reli ni kwa manufaa ya wote,

Hata vizazi vya baadae vitanufaika nayo.
Mshahara wa mbunge na posho zake kwa mwezi ni kiasi gani?
Na mshahara wa daktari na posho ni kiasi gani?
Au mbunge hatatumia hizo reli?

Kuna watu mkiwa kwenye comfort zone mnasahau kabisa kwamba hii nchi ni yetu sote.
 
Mgombea urais wa ccm amesema, hawezi kuongeza wafanyakazi mshahara na huku anajenga reli,elimu bure,miradi mikubwa kwa sababu na wafanyakazi watatumia hivyo vitu

Poleni wafanyakazi ,twende na Lissu

=====
View attachment 1559428
DKT MAGUFULI: MARA

> Huwezi ukaacha kujenga reli, ukasema hii hela naenda kupandisha mishahara

> Huwezi ukaacha kujenga vituo vya afya, ukatumia hiyo hela kupandisha mishahara

#Uchaguzi2020
Danganya toto hiyo ya kutaka msamaha wa kupewa kura
 
Na ndiyo maana hayupo mfanyakazi wa nchi hii mwenye akili zake timamu kichwani, anaweza kumfagilia huyo magufuli kwa chochote.

Kiufupi tu hana faida kwa wafanyakazi wa nchi hii. Amejawa tu na dharau, kiburi, roho mbaya na ya kikatili, ubinafsi, unafiki, ubaguzi, nk. Nachelea tu kumuombea mabaya kwa sababu na yeye ni binadamu kama mimi! ila kiukweli anatuzingua sana wafanyakazi.

Huu ndiyo ukweli. Kazi kwenu watumishi
Kama vipi unaacha kazi tu unaenda huko walipoongeza mshahara ......uone sekunde 0 hio nafasi uliyoiacha kama haitajazwa
 
Elimu sio madawati sisi tunahitaji walimu walio makini kisakolojia wenye maarifa sio waliofeli..na walipwe hela nzuri watakua na moyo wa kusaidia vijana wetu..sasa mwalim umlipe 3k akae kijjn hapandishwi hana malupulupu hana semina saa ngap atamjali mtoto?
 
Huwez kuelewa ila ndo kweli
Kama baba wa familia siwezi nikaacha kufanyia biashara hella nilonayo nikaenda kuwanunulia familia yng wale kuku kila siku wale, lazima uandae ubaadae wako ata kama ni kunywa uji kila siku, enzi zile nyumban miaka ya late 90's nyumban tulikuwa tunakula mlo moja kwa siku,

Tuliishi vibaya ila ni kwakuwa wazazi walikuwa wanatafta na wakazipata, lazima uelewe unaenda wapi na msimamo wako
Kuna mschana nilikuwa nae nikamuacha bila sababu, sijui ka alikuwa ananidanganya ama ni kweli, yeye kwao kila siku ni pilau, kuku, nyama, mbuzii, birthday noma, japo alikuwa ana bonge la tako na kashiba ila familia yao ilikuwa ni kama kichu cha muhim kwao ni kula tu na hamna maendeleo
Nikamuacha maana niliona hawana akili
 
Mgombea urais wa ccm amesema, hawezi kuongeza wafanyakazi mshahara na huku anajenga reli,elimu bure,miradi mikubwa kwa sababu na wafanyakazi watatumia hivyo vitu

Poleni wafanyakazi ,twende na Lissu

=====
View attachment 1559428
DKT MAGUFULI: MARA

> Huwezi ukaacha kujenga reli, ukasema hii hela naenda kupandisha mishahara

> Huwezi ukaacha kujenga vituo vya afya, ukatumia hiyo hela kupandisha mishahara

#Uchaguzi2020
Watumishi wa umma, si mnamsikia kauli zake nyinyi wenyewe! Yaani kwa miaka mingine mitano hakuna nyongeza nyingine yoyote ile ya mshahara mnayopaswa kupewa, kwa kuwa Mheshimiwa atakuwa "busy" na maendeleo ya vitu.
 
Huwez kuelewa ila ndo kweli
Kama baba wa familia siwezi nikaacha kufanyia biashara hella nilonayo nikaenda kuwanunulia familia yng wale kuku kila siku wale, lazima uandae ubaadae wako ata kama ni kunywa uji kila siku, enzi zile nyumban miaka ya late 90's nyumban tulikuwa tunakula mlo moja kwa siku,
Tuliishi vibaya ila ni kwakuwa wazazi walikuwa wanatafta na wakazipata, lazima uelewe unaenda wapi na msimamo wako
Kuna mschana nilikuwa nae nikamuacha bila sababu, sijui ka alikuwa ananidanganya ama ni kweli, yeye kwao kila siku ni pilau, kuku, nyama, mbuzii, birthday noma, japo alikuwa ana bonge la tako na kashiba ila familia yao ilikuwa ni kama kichu cha muhim kwao ni kula tu na hamna maendeleo
Nikamuacha maana niliona hawana akili
Wazazi wetu walifunga mkanda kiukweli ukweli na tulishuhudia wenyewe wakiishi maisha hayo.

Sasa leo mtu anayekwambia funga mkanda yeye yuko zake anazunguka na ma V8 kwa mamia na helicopter juu,ana mshahara wa mamilioni,bima za afya uhakika kwake na kwa familia yake tena watoto wake na ndg zake wakipata kazi kwny mashirika ya umma manono, ila watoto wa maskini ndio wanaambiwa wakachukue vitambulisho vya wamachinga.

Huo Mkanda yeye anaufungia wapi?
 
Duu! Hapa Mama Maria Nyerere kaua kabisa! Yaani yeye kasombwa tu kama wana Mara wengine kwenda kuongeza idadi na analazimishwa kusema cho chote ingawa hana cha kusema!
Si wanasemaga msema kweli ni mpenzi wa Mungu,bibi imebidi awe mpole tu.
 
I
Na ndiyo maana hayupo mfanyakazi wa nchi hii mwenye akili zake timamu kichwani, anaweza kumfagilia huyo magufuli kwa chochote.

Kiufupi tu hana faida kwa wafanyakazi wa nchi hii. Amejawa tu na dharau, kiburi, roho mbaya na ya kikatili, ubinafsi, unafiki, ubaguzi, nk. Nachelea tu kumuombea mabaya kwa sababu na yeye ni binadamu kama mimi! ila kiukweli anatuzingua sana wafanyakazi.
Mkuu basi mwaka huu nyie mtapata kura zote za wafanyakazi alafu tuone kama Lisu atampita Magu kwa kura
 
I Mkuu basi mwaka huu nyie mtapata kura zote za wafanyakazi alafu tuone kama Lisu atampita Magu kwa kura

Kwa tume ipi ya uchaguzi? kwa polisi hawa hawa wanao fahamika kama policcm!! kwa kuwategemea Ma DED wanaojaziwa mafuta na kulipwa mishahara, halafu wawatangaze wapinzani!!

Muda utafika tu. Kama siyo leo, basi itakua kesho ambapo Ccm itabakia kuwa historia kwenye nchi yetu.
 
Wazazi wetu walifunga mkanda kiukweli ukweli na tulishuhudia wenyewe wakiishi maisha hayo.

Sasa leo mtu anayekwambia funga mkanda yeye yuko zake anazunguka na ma V8 kwa mamia na helicopter juu,ana mshahara wa mamilioni,bima za afya uhakika kwake na kwa familia yake tena watoto wake na ndg zake wakipata kazi kwny mashirika ya umma manono, ila watoto wa maskini ndio wanaambiwa wakachukue vitambulisho vya wamachinga.

Huo Mkanda yeye anaufungia wapi?
Kwahiyo ulitaka nae atembelee ist?
 
Back
Top Bottom