Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Huwezi ukaacha kujenga reli, ukasema hii hela naenda kupandisha mishahara

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Huwezi ukaacha kujenga reli, ukasema hii hela naenda kupandisha mishahara

Kwanini yeye asiache kugawa pesa kwenye ziara yake na kununua jogoo kwa laki moja.?
Mgombea urais wa ccm amesema, hawezi kuongeza wafanyakazi mshahara na huku anajenga reli,elimu bure,miradi mikubwa kwa sababu na wafanyakazi watatumia hivyo vitu

Poleni wafanyakazi ,twende na Lissu

=====
View attachment 1559428
DKT MAGUFULI: MARA

> Huwezi ukaacha kujenga reli, ukasema hii hela naenda kupandisha mishahara

> Huwezi ukaacha kujenga vituo vya afya, ukatumia hiyo hela kupandisha mishahara

#Uchaguzi2020
 
If the popular perceive alternative X is better why are opting to alternative Y.
Ina maana kama the mass needs X give them X please leave Y for the public seek
 
> Huwezi ukaacha kujenga reli, ukasema hii hela naenda kupandisha mishahara

> Huwezi ukaacha kujenga vituo vya afya, ukatumia hiyo hela kupandisha mishahara

#Uchaguzi2020

Unahamisha makao makuu kwenda Dodoma wakati unataka kujenga reli ya SGR mpya kwa miaka 15.

Unawanunulia magari ya kifahari ma-DED, ma-DC, makatibu wakuu n.k wakati unataka kujenga reli.

Unatengeneza stendi kubwa za kifahari za mabasi zenye shopping malls n.k wakati unataka kujenga reli

Unaunda jeshi la akiba kwa gharama kubwa wakati unataka kujenga reli

Unanunua ndege kwa cash wakati unataka kukamilisha ujenzi wa reli

.....
 
Wazazi wetu walifunga mkanda kiukweli ukweli na tulishuhudia wenyewe wakiishi maisha hayo.

Sasa leo mtu anayekwambia funga mkanda yeye yuko zake anazunguka na ma V8 kwa mamia na helicopter juu,ana mshahara wa mamilioni,bima za afya uhakika kwake na kwa familia yake tena watoto wake na ndg zake wakipata kazi kwny mashirika ya umma manono, ila watoto wa maskini ndio wanaambiwa wakachukue vitambulisho vya wamachinga.

Huo Mkanda yeye anaufungia wapi?
Ata apae kama malaika

Ukipewa uchague kati ya kujenga miundombinu na kuongeza mishahara utachagua nini, ukizingatia una hella ya kufanya jambo moja, kingine ni kuwa vitu havijapanda bei kihivyo na dolla iko palepale
 
Mgombea urais wa ccm amesema, hawezi kuongeza wafanyakazi mshahara na huku anajenga reli,elimu bure,miradi mikubwa kwa sababu na wafanyakazi watatumia hivyo vitu

Poleni wafanyakazi ,twende na Lissu

=====
View attachment 1559428
DKT MAGUFULI: MARA

> Huwezi ukaacha kujenga reli, ukasema hii hela naenda kupandisha mishahara

> Huwezi ukaacha kujenga vituo vya afya, ukatumia hiyo hela kupandisha mishahara

#Uchaguzi2020
KURA YANGU HUPATI NG'O ! Msema kweli ni mpenzi wa Mungu😁😁😂😂😂
 
Ata apae kama malaika

Ukipewa uchague kati ya kujenga miundombinu na kuongeza mishahara utachagua nini, ukizingatia una hella ya kufanya jambo moja, kingine ni kuwa vitu havijapanda bei kihivyo na dolla iko palepale
Sasa ndio Stigler's na ndege zimpigie kura.
 
Inasikitisha sana...
Kaongea ukweli...poleni wafanyakazi, wastaafu na wengineo... muhimu msikate tamaa uvumilivu unahitajika hapa, huenda mambo yakanyooka huko mbeleni.
 
Tatizo wao wanataka tuongeze sent ila sie twapunguza paye percentage tu so ni njia indirect ya kuongeza mshahara.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Siyo! % ya PAYE iliyopunguzwa ni kidogo mno kuilinganisha na ongezeko lolote la mshahara linalowezekana. Ikumbukwe wengi wanadai tu nyongeza ya kisheria ya kila mwaka na kupanda vyeo kwa kuwa wamefikia vigezo. Hakuna nchi isipokuwa Tz ambako wanasimamisha mshahara na vyeo kiasi hicho. Hakuna. Na siyo kwamba hao hawajengi miundo mbinu. Balance, bwana, balance!
 
Kaongea ukweli...poleni wafanyakazi, wastaafu na wengineo... muhimu msikate tamaa uvumilivu unahitajika hapa, huenda mambo yakanyooka huko mbeleni.
Bahati yako nimejiweka kitume na ninajiandaa kwenda kanisani kutubu dhambi zangu.
Otherwise, ningekutukania mtu wako wa karibu alie kunyonyesha hadi akili ingekukaa sawa.. .
 
Back
Top Bottom