Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Huwezi ukaacha kujenga reli, ukasema hii hela naenda kupandisha mishahara

Bila shaka una funza kichwani
 
Achana na huyo mwehuu aloandika ujinga anationa wote mapopoma
 
Nimekutukana matusi yoote unayoyajua hapa duniani wewe na ukoo wako
Ata apae kama malaika

Ukipewa uchague kati ya kujenga miundombinu na kuongeza mishahara utachagua nini, ukizingatia una hella ya kufanya jambo moja, kingine ni kuwa vitu havijapanda bei kihivyo na dolla iko palepale
 

..mishahara inatakiwa ipandishwe bila kujali mtumishi amepanda daraja au la.

..anachosema Magufuli hapa ni kwamba wanaostahili kupanda mshahara ni wale waliopandishwa daraja tu.
 
Wafanyakazi wapo laki tano na nusu wakati jumla ya watanzania ni milioni 59.7.

Tuondokane na akili za kibinafsi, kuna mahitaji mengi sana ya watanzania wa mikoani na yana thamani kubwa na ya kudumu kulinganisha na hao waajiriwa laki tano.


..UBINAFSI ni kuacha kuwapa motisha watumishi wa umma, na kwenda kujenga airport ya kimataifa CHATO kijijini kwa Raisi.
 
Mishahara inapanda kwa mujibu wa sheria, mimi nafikiri hoja yako ingekuwa na mashiko kama wangefuta kwanza hizo kanuni na sheria za kupandisha wafanyakazi mishahara
 

Ni umasikini tu unakusumbua, kula vizuri ni kitu cha kawaida ambacho kila mtu anapaswa aweze kuafford. Umasikini mlioletewa na CCM ndio unawasababisha kujipangia vipaumbele vya hovyo mnasahau kula, mwisho mnaugua magonjwa ya “Malnutrition” mkipambana kujenga vibanda ambavyo hata havina sifa ya kuitwa nyumba.

Watu wanawasemea ili serikali ione umuhimu wa uchumi wa mtu mmoja mmoja kukua, ili ifike siku muone kula ni kitu cha kawaida, kujenga vilevile ni kitu cha kawaida kila mtu mzima awe na uwezo wa kuyafanya hayo.
 

Washaurini basi wafute hiyo sheria maana waliiweka wao, mbona unawalalamikia watumishi as if walijitungia hiyo sheria? Rais wako anavunja sheria wewe uko busy kumshangilia, Je unafahamu kuvunja sheria ni kosa?
 
Kama hujui, wafanyakazi ndiyo wanajenga nchi...
 
Acha awanyooshe hao wafanya kazi, vyama vyao havina meno kazi kisifia tu,naakipita mtaisoma namba
 
That’s a fact kutoka kwa mwanaume! Mawazo ya maendeleo. Reli ndiyo itazalisha ili kizazi cha baadaye kinufaike. Hata ulaya walifunga mikanda na leo hii wajukuu wanafaidi.

Wananchi hawataki wagombea ambao hawajui shida zao; wagombea ambao wanaonekana kipindi cha kampeni tu. JPM analazimisha wananchi kuchagua ccm kwa nguvu, haiwezekani.
Mwananchi jua wewe ndio mwenye nguvu kipindi hiki, zitumie nguvu zako vizuri kuleta mabadiliko.
 
wabongo siwaelewi

..thread wengi wanalalamika na ungedhani watampiga chini...lakini wakishapewa kofia na t-shirts wanasahau shida zao
 
Huwezi ukawalaza njaa familia yako kwa kisingizio cha miradi
 
wabongo siwaelewi

..thread wengi wanalalamika na ungedhani watampiga chini...lakini wakishapewa kofia na t-shirts wanasahau shida zao
Ni maamuzi yao kuchagua furaha au karaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…