Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kila kinachojengwa huko kwenu kuna kiongozi yeyote anatoa hela kwenye account yake?Hivyo fedha ni za kwake?
,
Si mlisema siyo Msukuma?? Mbona nyinyi ni vigeugeu?Kuwaita mna akili sana ni mbinu ya kuwachota tu
Jiwe kabadirisha plan ya awali ya reli ya SGR ambayo ilitakiwa iende Kigoma kwa ajili ya uwepo wa bandari ya Kigoma yenye kuhudimia Congo, Burundi etc, yeye kaipeleka mwanza ambako hakuna mzigo wowote wa maana kwenye bandari ya Mwanza.
Maamuzi ya kubadili plan ya uelekeo wa reli hiyo ni muendelezo uleule tu wa ukabila wa kutaka kupeleka reli "kwao" kama alivyojenga uwanja wa ndege Chato!
Si mlisema siyo Msukuma?? Mbona nyinyi ni vigeugeu?
Yaani unasema mizigo mingi then una refer vitenge!! Are you serious?? Wewe kweli zero tunazungumza mizigo mikubwa na ya maana. Mikoa ya kanda ya ziwa kuna migodi ambayo inahitaji vitu kibao ikiwepo mafuta ya kuendeshea mitambo kwa mfano Geita Gold Mine kila siku kwa sasa inapokea malori ya mafuta kama 200 hadi 300 bado Kakola, Mwadui, Tarime na Kagera hapo tunazungumzia mizigo ya ndani bado kuna Uganda, Rwanda na Burundi. Sasa njia ya Kigoma kwa ndani ya Tanzania upande wa Kigoma almost hakuna mgodi hata mmoja unazungumzia Kongo pekee yake.Bandari ya Kigoma ni muhimu kwani inasaidia biashara. Kuna mizigo mingi inayoingia Afrika kupitia bahari na hushukia Ghana ambayo husafirishwa mpaka Congo na kufika Ziwa Tanganyika. Baadhi ya bidhaa hizi ni Hollandaise Wax au Vitenge vya Wax kutoka Holland.
Kwahiyo kwa mantiki hiyo madai ya zitto hayakuwa na msingi?
Wanakigoma mkataeni magu.Habari za humu wadau, poleni na hongereni na pilika za kampeni.
Juzi kati nimesikitishwa na kitendo cha mgombea kupitia kiti cha ccm ambaye kawaita watu wa kigoma kwamba wana akili sana,
nawakosoa kwa sababu,
Magufuli huyuhuyu kakataa katakata treni ya umeme isifike kigoma bali iende mwanza , huu mgogoro zitto kapiga kelele saaana akijaribu kuonesha umuhimu na utofauti uliopo kati ya reli kutoka mwanza na kigoma lakini huyo aliyewaita mna akili sana hakujali kwa ufupi hawatakii mema.
Bandari ilielezwa ijengwe kigoma kwa ajili ya kuimarisha shughuli nyingi kupitia ziwa Tanganyika lakini huyu anayewaita mna akili sana hilo nalo kakataa kapeleka mwanza.
Upande wa uwanja mkubwa wa ndege inasemekana na wenyew kakataa vilevile nadhani itakuwa ndo huo uliojengwa mbingu ya chato.
Siku zote ukiona mwanasiasa anakusifu wewe raia una akili sana au mwelewa shtuka mapema
N.B: Mtu asiyekubali kushindwa kwa chochote daima atapata lolote katika mda wowote.
Wapi nimeandika kwamba zito kanishika akili?Kumbe umeshikiwa akili na Zito! Toa hoja kwa akili zako sio mawazo ya mtu
Kwani hapa nimekuja kuuliza Sera ya mgombea?Mgombea wa zito yeye anasera gani!?
Kuwaita mna akili sana ni mbinu ya kuwachota tu.
Jiwe kabadirisha plan ya awali ya reli ya SGR ambayo ilitakiwa iende Kigoma kwa ajili ya uwepo wa bandari ya Kigoma yenye kuhudimia Congo, Burundi etc, yeye kaipeleka mwanza ambako hakuna mzigo wowote wa maana kwenye bandari ya Mwanza.
Maamuzi ya kubadili plan ya uelekeo wa reli hiyo ni muendelezo uleule tu wa ukabila wa kutaka kupeleka reli "kwao" kama alivyojenga uwanja wa ndege Chato!