Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli kakataa treni ya umeme isifike Kigoma bali iende Mwanza?

I thought kua reli hata mkoloni alijenga na ni maendeleo ya vitu na sio muhimu?
Nini Kimebadilika?

Anyway kiuchumi Reli ya kwenda Mwanza ni Economical viable kuliko Kigoma, hivyo ilistahili kupata priority kwa sababu zifuatazo.

1. Reli ya Kwenda Mwanza inaunganisha na Mkoa wa Shinyanga while ya kigoma inaenda mkoa mmoja tu(two regions by one).

2. Reli ya Mwanza LOCALY itahudumia mikoa ya jirani km Shinyanga, Geita, Kagera, Simiyu na Mara while ya Kigoma haina mkoa jirani itakao hudumia zaidi ya Katavi yenye reli yake.

3. Kimataifa Reli ya Mwanza itahudumia inchi za Uganda via ziwa Victoria, Rwanda, Burundi na Congo kwa Kupitia Isaka while ya kigoma itahudumia Congo na Burundi (4 countries by 2 countries)

4. Reli ya Mwanza inatoa Altenative route kwa Mizigo inayotoka kwenda land locked countries kutoka Mombasa-Kisumu mpaka Mwanza kwa ziwa victoria then Isaka-Rwanda, Burundi au Congo(and vice versa) while Kigoma doesn't have that option.

5.Uki refer to point no 1,2,3 na 4 utagundua kua route ya Mwanza itagusa maisha ya wanainchi wengi zaidi kuliko ya Kigoma.

6.Uchumi wa Mkoa wa Mwanza km Mkoa ni mkubwa probably mara mbili au 3 kulinganisha na mkoa wa kigoma.. hii ina maanisha ht bidhaa za kutoka mwanza kurudi na reli ni nyingi kuliko kigoma.

7. Idadi ya Wakaazi wa mkoa wa Mwanza ni kubwa kuliko Mkoa wa kigoma na hili lina impact ktk idadi ya abiria e.g 40% ya abiria wote wa ATCL ni route ya Mwanza, so unaweza kupata picha ya impact ya Mwanza in terms of Abiria na purchasing power yao.

8. Ukirefer to all the points above utagundua kua itakuchua less yrs kupata Return on Investment kwenye route ya Mwanza ukilinga nisha na Route ya Kigoma.

N:B Reli ya Kigoma nayo ipo kwenye mipango( Phase II), it was just a matter of priorities.

Nway nakaribisha point kinzani na sio Matusi...Tujadiliane km Great thinkers nami nipo teyari kujifunza nisiyoyajua ktk faida za Route ya kigoma.
 
Si mlisema siyo Msukuma?? Mbona nyinyi ni vigeugeu?
 
Mkuu umeeleza kila kitu atakayekubishia atakuwa hajui uchumi.
 
Yaani unasema mizigo mingi then una refer vitenge!! Are you serious?? Wewe kweli zero tunazungumza mizigo mikubwa na ya maana. Mikoa ya kanda ya ziwa kuna migodi ambayo inahitaji vitu kibao ikiwepo mafuta ya kuendeshea mitambo kwa mfano Geita Gold Mine kila siku kwa sasa inapokea malori ya mafuta kama 200 hadi 300 bado Kakola, Mwadui, Tarime na Kagera hapo tunazungumzia mizigo ya ndani bado kuna Uganda, Rwanda na Burundi. Sasa njia ya Kigoma kwa ndani ya Tanzania upande wa Kigoma almost hakuna mgodi hata mmoja unazungumzia Kongo pekee yake.
 
Duh... Sasaivi mnataka maendeleo ya vitu na sio yawatu km Rais wa mioyo yenu anavyosema?
Nyie watu niwanafki Sana!
 
Asante sana kweli hakika wewe ni great thinker nakupongeza sana kwa msomi ataelwa lakini alie umbwa kutoelewa hata elewa atataka kupinga tu
 
Wanakigoma mkataeni magu.
 


Yeye haangalii maslahi mapana ya nchi bali anaangalia maslahi mapana ya Ukabila ya maeneo anakotoka, hata katika kampeni zake akiwa huko kanda ya ziwa hupenda sana kuongea kisukuma ambapo ni kinyume na sheria za NEC na hii yote ni ishara ya Ukabila. JPM ajirekebishe.
 
Huyu jamaa kawashika wapi , kila kukicha, watu wamnawi hata uso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…