Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
WanaKigoma,
Huu ni ujumbe mahususi kwa Mhe Dkt Magufuli kwa heshima aliyotuonesha, aliyotupatia kufuatia uteuzi wa wasaidizi wake kwa nafasi ya uwaziri ambapo Wizara ya Fedha kamuteua Isidory Mpango, na Wizara ya Elimu na Mafunzo kamuteua Prof Ndalichako.
Hii ni heshima kubwa sana tuliyopewa na kiongozi mkubwa nchini - ni imani kubwa aliyonayo kwa wateuliwa. Niwaombe wateuliwa wote wafanye kazi kufa kupona, kwa imani na matendo kumsaidia Mhe Dkt Magufuli kwa nafasi alizowapa.
Aidha, niwaombe wananchi wote wa mkoa wa Kigoma bila kujali itikadi za vyama vya siasa "CDM, ACT, CUF, NCCR, UDP, nk kuwapa ushirikiano thabiti wateuliwa ili watimize majukumu yao kwa ufanisi mkubwa sana. Aidha, kwa pamoja tumpe ushirikiano Mhe Dkt Magufuli na chama cha Mapinduzi ili tuweze kufikia maendeleo kwa haraka.
Mwisho
Nivuke mpaka na kwenda mkoani Kagera ambapo Bashungwa na Adv Byabato wameteuliwa kumsaidia Mhe Dkt Magufuli kazi - JPM be blessed!
Hatukuangushi!!!