Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli kuendelea na kampeni Dar es Salaam

Chief najua ww ni shibik wa kijana, unajua ipo ivi unapohongelea maendeleo ya Watu, na vitu vinautoufauti mkubwa sana twende sawa
Maendeleo ya vitu maana watu wachache wananufaika mfn Ndege utawanufaisha watu wenye maisha ya juu wanauwezo waku_ afford tofauti na Mwanachi wa hali ya chini haimusu
Maendeleo ya watu hapa sas tunazungumuzia tangible isues kama local road, hospital kilimo na miradi ya maji vijijini na migini mikopo vyuo vikuu
Kwa hiyo hivi vitu zikifanyika kwa ueledi kila mtu hanaweza Kupambana na mazingr kwa ujumla mkuu
 
Mbona hivi vipi?
 
Gari bovu lazima lifanye test karibu na Gereji maana lolote linaweza tokea
 
Tunaumia uvunjaji wa sheria ya usafirishaji
 
Hali si shwari
 
Fatuma Lowassa kasema kamwe hawatampa kura ameyaongea hayo kwa niaba ya Wanawake weusi wa jiji la Dar
 
Mkuu, licha ya hata hayo machache yanayoonekana kuwa ameyafanya. Lakini pia ukiyachunguza kwa undani utakuta kuna upigaji wa kutisha wa fedha za umma. Na hiki ndicho hasa kiini cha yeye kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari.
 
Sasa ulitaka CCM wanachama wake waende kwa miguu? Hivi kuna mwanachadomo atakubali kusombwa aende uwanjani??
ccm by force ila chadema ni mahaba ya wananchi kujibeba popote walipo kuelekea alipo mgombea

nadhani nimeeleweka?
 
UKINUNA UWE NA SABABU!.Mnaomfatilia JPM kutwa kucha ! na kusema mara oh! Sijui mgonjwa , mara mapumzikoni! .Hii hapa ratiba ya kampeni kuanzia kesho Jumatatu tar 12 hadi Jumatano tar 14, ambapp pia siku ya Jumatano atawaongoza watanzania kupokea mgao wa zaidi ya bilioni 100 kutoka Barrick Gold ikiwa ni sehemu ya mafanikio ya kupitia mikataba ya madini na kutunga sheria zinazolinda madini na maliasili za Tanzania. JPM mitano tena!.
 
Pemba Lini Zamu Yetu, Mtwara, Lindi Katavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…