Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli kuendelea na kampeni Dar es Salaam

Tupo pamoja ,

Ila naona hapo kinondoni imesahaulika, hakuna tabu maana kwa Jimbo la kinondoni shughuli imeshakwisha mapema kabisa.
 
Labda vyombo vya Euro na sio dola.Dola awajaongezewa mishahara Wana hasira nao hatari ukiwasikiliza Hawa wadogo wanataka mabadiliko,achilia Hawa mabosi zao ambao ni wanufaika.
Mkuu nasikia wanataka kuwalipa pesa zao kabla ya octoba 28.
 
Huelewi nn sasa
Dar ndio mkoa wenye wapiga kura wengi lazima akomae.
Sasa nyie endeleeni na kutafuta Kura maeneo ya watu wachache.
Wa piga kura wengi wa dar huwa hatuhudhirii mikutano ya wanasiasa, tunangoja kutumia kichinjio
 
Watanzania wa wapi unawazungumzia wewe?! Ni mtanzania wa wapi hao wanaishi Kama wakimbizi? Wewe Bila Shaka haupo Tanzania...hayo ni maneno ya beberu Robert Amsterdam.
Mtanzania anaishi Kama mkimbizi?! Yaani hapa TZ?! Nyie watu kweli mmeishiwa hoja...ni weupe kabisa...halafu ni waongo Kama Lissu wenu, mzee wa faragha, na imperialist stooge au kibaraka wa mabeberu...hiyo Oktoba 28 ndipo mtajua Kama watanzania wanaishi Kama wakimbizi ...mtapata kipigo kikubwa Cha kisiasa...mamilioni ya watanzania wamejiandaa kufanya Jambo kubwa nalo ni kumwadhibu Lissu kwa kura..
Labda watanzania wa Policcm, Necccm, Tissuvccm, TRACcm, Uhamiajiccm, msajiliccm, Ila watanzania ambao ni wakulima, Wanavyuo, wafanyakazi, wavuvi,na wastaafu wanasema wanajambo lao 28/10
 
Ahaha ok sawa
 
Mnapoteza nguvu na bundle zenu kumjibu bia yetu na mda wenu pia msg zake tu zinaonesha ni mtu wa aina gani bora muwe mnamuacha kama alivyo hata akipost utumbo mnamkaushia tu, inaonesha ana laana huyu mtu
 
Watanzania wa wapi unawazungumzia wewe?! Ni mtanzania wa wapi hao wanaishi Kama wakimbizi? Wewe Bila Shaka haupo Tanzania...hayo ni maneno ya beberu Robert Amsterdam.
Mtanzania anaishi Kama mkimbizi?! Yaani hapa TZ?! Nyie watu kweli mmeishiwa hoja...ni weupe kabisa...halafu ni waongo Kama Lissu wenu, mzee wa faragha, na imperialist stooge au kibaraka wa mabeberu...hiyo Oktoba 28 ndipo mtajua Kama watanzania wanaishi Kama wakimbizi ...mtapata kipigo kikubwa Cha kisiasa...mamilioni ya watanzania wamejiandaa kufanya Jambo kubwa nalo ni kumwadhibu Lissu kwa kura..
Jana nilipita kwenye kituo cha mwendokasi nikamkuta mamantilie anakaanga vitumbua huku anauza. Nikavitamani nikasema nimuungishe mwanamke mwenzangu. Nikamuuliza anaonaje mazingira ya biashara?
Akanijibu nasubiri siku nikampe tena Magufuli, siku hizi nauza vitumbua 300 asubuhi na jioni 200 bila bugha, huyo anayesema ataondoa vitambulisho hatumpi😁😁😁
Nikajinunulia vitumbua vyangu 10 kwa furaha sana sababu John Pombe Magufuli ana wapiga kura sio kwaajili ya kampeni ila sababu ya utendaji wakewake. Wacha na jumatatu nipite tena ninunue vingine
 
Alishapoteza mvuto hadi kutegemea nyota za wasanii
 
Hizo porojo peleka lumumba kwa wajinga wenzio
 
Back
Top Bottom