Dkt. Magufuli kwaheri, ulistahili kuwa Rais wa Dunia

Dkt. Magufuli kwaheri, ulistahili kuwa Rais wa Dunia

Tangia kuumbwa kwa dunia, Tanzania haijawahi kupata rais wa hovyo kama marehemu dikiteta magufuli. Kifo cha mchato happened for a good reason.
Magufuli alimpiku Nyerere kimtindo
 
Nilijua tu post kama hii itakuwepo
Mkuu mimi mwananchi wa kawaida sihitaji hayo mavyeo kwa tarifa yako mimi nimkulima nipo huku kijijini navuna ufuta na naridhika na kilimo changu cha small scale
Ujui unachoongea wewe

Uyo unamtetea kaharibu Sana soko la biashara ya mazao kwa ubabe wake usio na kichwa Wala miguu.

-Hivi mkulima wa ufuta, unajua sahivi Ni Bei gani?

-hivi mkulima wa ufuta, Ni lini umepewa ruzuku ya pembejeo?
 
Yeah, kazi ya miili kwenye viroba kule pwani haikuwa ya kitoto - huyu alistahili hata kuiongoza Marekani na Ulaya yoote. Mwendazake kwa kupoteza alikuwa na sifa ya kipekee!!
Mkuu siku nikipata nafasi nitakwambia kuhusu binadamu walivyo wabaya, kwa kudokeza tuu binadamu akiamua kukuchafua nisekunde chache sana
 
Magufuli ni rais wa ajabu hajawahi kutokea rais wa ajabu ajabu kwa yule.Tanzania tumejifunza kwake hatutarudia tena makosa kama yale.
 
Back
Top Bottom