Dkt. Magufuli kwaheri, ulistahili kuwa Rais wa Dunia

Rais wa dunia asiyeipenda dunia? Si angefutilia mbali wale so called mabeberu?

Magufuli alikuwa mtendaji mzuri he would have made a very good prime minister, ila kwa Rais (binafsi hata Rais wa Kirabu cha mpira nisingempa kura) Hakuwa muunganishi.
Kama huna la kuchangia, kutulia ni option nzuri pia😱!
 
Mkuu usije jikuta umebaki mwenyewe katika nyimbo za kusifu.Tumpumzishe huyu mzee.
Iwe ni kwa mazuri au mabaya.
 
Kwani nini maana ya kuwa rais mkuu au urais unachagua ukoo na familia.
Naona mmejipanga kwelikweli kuendelea kumuenzi kwa nguvu zote. Ila legacy ya mtu huwa hailazimishwi kuishi, kama ipo itaendelea kuwepo tu msiivute kwa winchi
 
Rais wa dunia asiyeipenda dunia? Si angefutilia mbali wale so called mabeberu?

Magufuli alikuwa mtendaji mzuri he would have made a very good prime minister, ila kwa Rais (binafsi hata Rais wa Kirabu cha mpira nisingempa kura) Hakuwa muunganishi.
Rated 5 stars
 
Hivi kutoongeza mishahara in uzalendo? Kujenga majumba na miundo mbinu ndiyo uzalendo?
Mzalendo ni mtu anayeipenda nchi na watu wake, hivyo Magufuli alikuwa na Element zote za uzalendo nenda kasikilize hotuba aliyotoa pale mbezi kituo kipya cha mabasi utajua kweli Alikua na vision
 
Rais wa dunia asiyeipenda dunia? Si angefutilia mbali wale so called mabeberu?

Magufuli alikuwa mtendaji mzuri he would have made a very good prime minister, ila kwa Rais (binafsi hata Rais wa Kirabu cha mpira nisingempa kura) Hakuwa muunganishi.
17/3 of every year is a celebration for all Tanzanians
 
Kamfufue . Bwege wewe? Raisi wa dunia awe magufuli hata English hajui? Mpumbavu wewe
 
Tangia kuumbwa kwa dunia, Tanzania haijawahi kupata rais wa hovyo kama marehemu Magufuli. Kifo cha mchato happened for a good reason.
Alikuwa raisi wa propaganda. Pumbavu sana yule.
Bwana ametenda maajabu yake
 
Etiii,
Hivi yule wanamwita C.E.O,
Huwa Ni kiongozi, au mtendaji...
 
Rais wa dunia asiyeipenda dunia? Si angefutilia mbali wale so called mabeberu?

Magufuli alikuwa mtendaji mzuri he would have made a very good prime minister, ila kwa Rais (binafsi hata Rais wa Kirabu cha mpira nisingempa kura) Hakuwa muunganishi.

wivu mchaga wewe
 
alikuwa nazo zote
 
We jamaa akili zako bana kwanza dunia unaichukuliaje? Unadhani mataifa yote ni makondoo kama sisi? Hata week asingemaliza madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…