Kama Hana Cha kusema inambidi tu achomekee hizo Mambo.Amesha chomekea jokes zake pendwa.
RoFlAmesha chomekea jokes zake pendwa.
Jamaa kamaliza kampeni leo. Anarudi gereji na ngoma ndo imetoka hiyo. Dah huo uchovu!Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha...
Chuoni tulikuwa na lecturer wa Organisation Administration course toka ukanda huo huo wa huyu ndugu yetu. Semester nzima, vipindi vyote mifano yake ni kuchumbiana, kuoana, sex, mapenzi, kusifia wanawake weupe.Amesha chomekea jokes zake pendwa.
Mfano wa Fuso kugonga baiskeliHamna kitu humo...Rais gani anayepedwa anahangaika hivyo kufanya kampeni..hadi kuhonga wasanii wamsaidie kuita watu kwenye mikutano yake..ni mambo ya aibu kabisa.
Jtano watanzania wanampa adhabu KALI. ni Kipigo cha kuchakaaa
Arusha akili kubwa nyie wenyewe mnalijua hilo ni kama Mbeya na Kigoma tuRais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania
Kura zote 98% kwa Rais Magufuli
Arusha hatutaki Chadema imetunyanyasa sana
Arusha akili kubwa nyie wenyewe mnalijua hilo ni kama Mbeya na Kigoma tu
# NI YEYE TU 2020
# THE BULLET PROOVE
# THE IRON PRESIDENT
# THE KINJEKETILE BULLET CONDENCERView attachment 1610704
Jiwe kweli amechanyikiwa!! sasa hapo cha maana ni nini?Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha...
Jamaa kamaliza kampeni leo. Anarudi gereji na ngoma ndo imetoka hiyo. Dah huo uchovu!
MAGUFULI atashinda kwa asilimi 60 na kitu ...mark my wordsAmesha chomekea jokes zake pendwa.
He is serious,he doesn't joke.Amesha chomekea jokes zake pendwa.