Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Leo nitalala Karatu, inawezekana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Leo nitalala Karatu, inawezekana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha.

Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo na kuonyesha uwezekano wa kujumuika na wakazi wa Karatu usiku mitaani na kuwahimiza wafanye biashara kutokana na ujio wake.

Rais Magufuli alinukuliwa akisema "Leo nitalala hapa hapa Karatu kwahiyo wasaidizi wangu muelewe hapa sitoki, kwahiyo tutaonana kwenye mitaaa watu mfanye biashara kama bia zitanyweka, inawezakana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu"

 
Tanzania pazuri sana.

Wale dada zetu wa kimbulu wamejaliwa Sana na urembo.

Kuna watu watakeleji kama kawaida yao ila wanatambua ukweli kwamba hata wazazi wao walikutana kwenye mikesha ya mwenge wa Uhuru.
 
Hamna kitu humo...Rais gani anayepedwa anahangaika hivyo kufanya kampeni..hadi kuhonga wasanii wamsaidie kuita watu kwenye mikutano yake..ni mambo ya aibu kabisa.

Jtano Watanzania wanampa adhabu KALI. ni Kipigo cha kuchakaaa
 
Hiyo ni tasisi ya Urais ya JMT .Naona mzee anajisahahu sana mara zote anajikuta anahisi yupo kijijini kwao chato akipiga stori na washkaji na maclassment wake wa Darasa saba enzi hizo ambao hadi leo wapo pale chato wakifanya shughuli za kiuchumi na kijamii.
 
Hamna kitu humo...Rais gani anayepedwa anahangaika hivyo kufanya kampeni..hadi kuhonga wasanii wamsaidie kuita watu kwenye mikutano yake..ni mambo ya aibu kabisa.

Jtano watanzania wanampa adhabu KALI. ni Kipigo cha kuchakaaa
Mfano wa Fuso kugonga baiskeli
 
Rais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania

Kura zote 98% kwa Rais Magufuli

Arusha hatutaki Chadema imetunyanyasa sana
Arusha akili kubwa nyie wenyewe mnalijua hilo ni kama Mbeya na Kigoma tu

# NI YEYE TU 2020
# THE BULLET PROOVE
# THE IRON PRESIDENT
# THE KINJEKETILE BULLET CONDENCER
Screenshot_20201024-174451_Instagram.jpg
 
Kwa hiyo mtu akitandikwa risasi ndio tumipigie kura [emoji3][emoji3]

Ingekuwa sifa za kuwa Rais ni kutandikiwa risasi
Basi majambazi yangeshashika Urais Tanzania

Msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu
Arusha akili kubwa nyie wenyewe mnalijua hilo ni kama Mbeya na Kigoma tu

# NI YEYE TU 2020
# THE BULLET PROOVE
# THE IRON PRESIDENT
# THE KINJEKETILE BULLET CONDENCERView attachment 1610704
 
Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha...
Jiwe kweli amechanyikiwa!! sasa hapo cha maana ni nini?
 
Back
Top Bottom