Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha.
Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo na kuonyesha uwezekano wa kujumuika na wakazi wa Karatu usiku mitaani na kuwahimiza wafanye biashara kutokana na ujio wake.
Rais Magufuli alinukuliwa akisema "Leo nitalala hapa hapa Karatu kwahiyo wasaidizi wangu muelewe hapa sitoki, kwahiyo tutaonana kwenye mitaaa watu mfanye biashara kama bia zitanyweka, inawezakana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu"