Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mzee bwana ,ole wako lissu uwe rais alafu umnyanyase ,nakuomba mh lissu ukisha apishwa usiweke kinyongo na huyu mzee, ndani ya siku Mia anzisha kamati ya kitaifa ya maridhiano, asema bwana na imekuaMgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha.
Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo na kuonyesha uwezekano wa kujumuika na wakazi wa Karatu usiku mitaani na kuwahimiza wafanye biashara kutokana na ujio wake.
Rais Magufuli alinukuliwa akisema "Leo nitalala hapa hapa Karatu kwahiyo wasaidizi wangu muelewe hapa sitoki, kwahiyo tutaonana kwenye mitaaa watu mfanye biashara kama bia zitanyweka, inawezakana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu"
View attachment 1610674
Watanzania tumeamua kukuchagua Rais wetu furahi na wapiga kura wako. Karatu CCM inachukua na kitu cha ubunge mwaka huu, Watanzania kura zetu tumpe huyu mwana maendeleo. Tumeona aliyofanya kwa maendeleo yetuMgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha.
Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo na kuonyesha uwezekano wa kujumuika na wakazi wa Karatu usiku mitaani na kuwahimiza wafanye biashara kutokana na ujio wake.
Rais Magufuli alinukuliwa akisema "Leo nitalala hapa hapa Karatu kwahiyo wasaidizi wangu muelewe hapa sitoki, kwahiyo tutaonana kwenye mitaaa watu mfanye biashara kama bia zitanyweka, inawezakana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu"
View attachment 1610674
Labda ufanye maridhiano na mabeberu aliyochukua fedha zao kwa ahadi kuwa atapata uongozi. Atafanya maridhiano nao wamruhusu kurudi kwaoIla mzee bwana ,ole wako lissu uwe rais alafu umnyanyase ,nakuomba mh lissu ukisha apishwa usiweke kinyongo na huyu mzee, ndani ya siku Mia anzisha kamati ya kitaifa ya maridhiano, asema bwana na imekua
Na Bob aonekana ni "ruthless" kwenye kudai chake.Labda ufanye maridhiano na mabeberu aliyochukua fedha zao kwa ahadi kuwa atapata uongozi. Atafanya maridhiano nao wamruhusu kurudi kwao
Mkuu usinifanye nikafanye utalii wa ngono ila ubaya hawana antenaKiukweli ukanda huo mzuri wadada wa ki Iraki, Wambulu wamejaliwa sana.
Hakuna mwanaume konki ambaye hawazii katikati weweee!. Iwe kwa mkeo au mchepuko, katikati ndo burudani isiyo na mshindani dunianiHuyu jamaa muda wote anawaza katikati ya chupi.😭😭😭
Be careful mate, listen and watch what you are typing.The guy is impotent, period
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]perpetrator ur sentence is loading only corpses will vote for him idiot
Ni mental caseHuyu jamaa muda wote anawaza katikati ya chupi.[emoji24][emoji24][emoji24]
Sasa nadhani kile kipigo cha RPC Muruto wa Dodoma alikisema sasa kinawageukia wao. KIPIGO CHA MBWA KOKOHamna kitu humo...Rais gani anayepedwa anahangaika hivyo kufanya kampeni..hadi kuhonga wasanii wamsaidie kuita watu kwenye mikutano yake..ni mambo ya aibu kabisa.
Jtano watanzania wanampa adhabu KALI. ni Kipigo cha kuchakaaa
Amesha chomekea jokes zake pendwa.
...[emoji23][emoji23][emoji23]usipanik Mkuu..wasanii wamejitolea ao ..kingine CCM chama kubwa ilo"Hamna kitu humo...Rais gani anayepedwa anahangaika hivyo kufanya kampeni..hadi kuhonga wasanii wamsaidie kuita watu kwenye mikutano yake..ni mambo ya aibu kabisa.
Jtano watanzania wanampa adhabu KALI. ni Kipigo cha kuchakaaa
Ni mefagia wote na wadogo zake wacha wale makombo.....sasa hivi nimetoa mchango wa pub-rinovesheniJack's pale kuna warembo wazuri sana
Mtu awazacho ndicho kitokacho kinywani mwake.Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha.