Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Leo nitalala Karatu, inawezekana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu

Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha.

Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo na kuonyesha uwezekano wa kujumuika na wakazi wa Karatu usiku mitaani na kuwahimiza wafanye biashara kutokana na ujio wake.

Rais Magufuli alinukuliwa akisema "Leo nitalala hapa hapa Karatu kwahiyo wasaidizi wangu muelewe hapa sitoki, kwahiyo tutaonana kwenye mitaaa watu mfanye biashara kama bia zitanyweka, inawezakana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu"

View attachment 1610674
Ila mzee bwana ,ole wako lissu uwe rais alafu umnyanyase ,nakuomba mh lissu ukisha apishwa usiweke kinyongo na huyu mzee, ndani ya siku Mia anzisha kamati ya kitaifa ya maridhiano, asema bwana na imekua
 
Watanzania tumeamua kukuchagua Rais wetu furahi na wapiga kura wako. Karatu CCM inachukua na kitu cha ubunge mwaka huu, Watanzania kura zetu tumpe huyu mwana maendeleo. Tumeona aliyofanya kwa maendeleo yetu
 
Ila mzee bwana ,ole wako lissu uwe rais alafu umnyanyase ,nakuomba mh lissu ukisha apishwa usiweke kinyongo na huyu mzee, ndani ya siku Mia anzisha kamati ya kitaifa ya maridhiano, asema bwana na imekua
Labda ufanye maridhiano na mabeberu aliyochukua fedha zao kwa ahadi kuwa atapata uongozi. Atafanya maridhiano nao wamruhusu kurudi kwao
 
Na Bob aonekana ni "ruthless" kwenye kudai chake.
Nadhani itakuwa ni ngumu sana sidhani kama wataelewana.
 
Kama ni mmezuzuka na lile Lisimbe la Sparrow tumesha vuruga sana kuleni MAKOMBO....
 
Hamna kitu humo...Rais gani anayepedwa anahangaika hivyo kufanya kampeni..hadi kuhonga wasanii wamsaidie kuita watu kwenye mikutano yake..ni mambo ya aibu kabisa.

Jtano watanzania wanampa adhabu KALI. ni Kipigo cha kuchakaaa
Sasa nadhani kile kipigo cha RPC Muruto wa Dodoma alikisema sasa kinawageukia wao. KIPIGO CHA MBWA KOKO
 
Hamna kitu humo...Rais gani anayepedwa anahangaika hivyo kufanya kampeni..hadi kuhonga wasanii wamsaidie kuita watu kwenye mikutano yake..ni mambo ya aibu kabisa.

Jtano watanzania wanampa adhabu KALI. ni Kipigo cha kuchakaaa
...[emoji23][emoji23][emoji23]usipanik Mkuu..wasanii wamejitolea ao ..kingine CCM chama kubwa ilo"
 
Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha.

Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo na kuonyesha uwezekano wa kujumuika na wakazi wa Karatu usiku mitaani na kuwahimiza wafanye biashara kutokana na ujio wake.

Rais Magufuli alinukuliwa akisema "Leo nitalala hapa hapa Karatu kwahiyo wasaidizi wangu muelewe hapa sitoki, kwahiyo tutaonana kwenye mitaaa watu mfanye biashara kama bia zitanyweka, inawezakana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu"

View attachment 1610674
Mtu awazacho ndicho kitokacho kinywani mwake.
 
Back
Top Bottom