Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hasira zinampanda kila kukicha, mtu anayesema yeye ni rais wa wanaccm! Hatufai.Dkt. Magufuli amewataka wananchi wa Makambako wamchague Mgombea Ubunge wa CCM Jah people kwa sababu kwenye ubunge hatuchagui degree bali mtu.
Dkt. Magufuli amesema Jah people salamu yake ni Kidumu chama cha mapinduzi hivyo wakimleta bungeni wataelewana ila wakimleta yule anayesalimia kwa alama ya manati sitawaelewa.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Dkt. Magufuli amewataka wananchi wa Makambako wamchague Mgombea Ubunge wa CCM Jah people kwa sababu kwenye ubunge hatuchagui degree bali mtu.
Dkt. Magufuli amesema Jah people salamu yake ni Kidumu chama cha mapinduzi hivyo wakimleta bungeni wataelewana ila wakimleta yule anayesalimia kwa alama ya manati sitawaelewa.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Mbona unakuwa huna akili?Kavurugwa huyu alidhani mambo yatakuwa mepesi, ndio maana anatumia vitisho kulazimisha watu wamchague mtu ambaye ni wa Chama chake.
Siasa za Chuki na roho mbaya hazitakiwi kwa Nchi yetu ambayo imetawaliwa na Amani na upendo.
Mungu siyo AmsterdamMungu wetu ana kazi nyingi za kuumba binadamu wenye roho safi wa kuchagua badala ya shetani tunayemwona na kumbeba anayepaswa kutupiliwa
mbali tuchague binadamu aliyeshinda mauti kwa uweza wa Mungu mwenyewe na tumwombe ampake mafuta na kumbariki. Tuachane na msema uongo mpenzi wa shetani!
Hivi Lisu anaposema msiwachague ccm huwa ni mbaguzi?Ubaguzi wa kiwango cha SGR kabisa
siyo ubaguzi ila kusema mkichagua upinzani sintaleta maendeleo ndo ubaguzi tunaozungumzia mama mkweHivi Lisu anaposema msiwachague ccm huwa ni mbaguzi?
Ila yule wa chattle ni 'yesu' kwa mujibu wa Kangi Lugola.Mungu siyo Amsterdam
Kwenye hiyo statement ya Magu kuna hayo maneno?siyo ubaguzi ila kusema mkichagua upinzani sintaleta maendeleo ndo ubaguzi tunaozungumzia mama mkwe
Wananchi wote watakaochagua wabunge eti kwa sababu Magufuli ameagiza kuwa hatawaletea maendeleo ikiwa watachagua upinzani watakuwa hawajitambui. Njombe Magharibi anayotoka Deo Sanga au Jah people ni eneo ambalo elimu ilitangulia kuptia wamissionari wa Kiluteri. Hata kama walifanya makosa kumchagua Deo Sanga miaka 10 iliyopita kwa sababu ya umaarufu wa mabasi na malori yake, lakini watambue kuwa hajawasaidia kitu.Dkt. Magufuli amewataka wananchi wa Makambako wamchague Mgombea Ubunge wa CCM Jah people kwa sababu kwenye ubunge hatuchagui degree bali mtu.
Dkt. Magufuli amesema Jah people salamu yake ni Kidumu chama cha mapinduzi hivyo wakimleta bungeni wataelewana ila wakimleta yule anayesalimia kwa alama ya manati sitawaelewa.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
akisifiwa hivo utaona mashavu anavimbisha kama peregeIla yule wa chattle ni 'yesu' kwa mujibu wa Kangi Lugola.
sanaaa na siyo mara mojaKwenye hiyo statement ya Magu kuna hayo maneno?
JPM yeye keshapita anachofanya sasa ni kuwaomba wananchi wampe wagombea wote wawe wa CCM ila iwe rahisi kutekeleza ilani ya CCM.
Utakavyaoona ila Mungu tunayemwabudu siyo Amsterdam kwamba anamtolea matamko na kutaka Lisu ashinde.Ila yule wa chattle ni 'yesu' kwa mujibu wa Kangi Lugola.
Anawaomba au anawatisha!JPM yeye keshapita anachofanya sasa ni kuwaomba wananchi wampe wagombea wote wawe wa CCM ila iwe rahisi kutekeleza ilani ya CCM.
Kama kile kipigo cha 'yesu'kwny kura za maoni kwa Lugola.Utakavyaoona ila Mungu tunayemwabudu siyo Amsterdam kwamba anamtolea matamko na kutaka Lisu ashinde.
Mungu wetu ni wa haki anawapenda wema na waovu ndio maana hata siku moja huwezi kukuta mvua imebagua katika kunyesha. Itanyesha shambani kwa Lisu na kwa Magufuli pia.
Kwahiyo kipigo kwa huyo mtu wenu kibaraka wa Amsterdam kiko pale pale.
Huyu huyu?JPM yeye keshapita anachofanya sasa ni kuwaomba wananchi wampe wagombea wote wawe wa CCM ila iwe rahisi kutekeleza ilani ya CCM.
Ameshikwa sehemu za siri ana lazimisha wanachi wamchague kwa nguvuDkt. Magufuli amewataka wananchi wa Makambako wamchague Mgombea Ubunge wa CCM Jah people kwa sababu kwenye ubunge hatuchagui degree bali mtu.
Dkt. Magufuli amesema Jah people salamu yake ni Kidumu chama cha mapinduzi hivyo wakimleta bungeni wataelewana ila wakimleta yule anayesalimia kwa alama ya manati sitawaelewa.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Lazima wanyookeHuyu huyu? View attachment 1585327
Don't question the obvious.Ana uhakikika gani kama yeye atachaguliwa?