Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hasira zinampanda kila kukicha, mtu anayesema yeye ni rais wa wanaccm! Hatufai.Dkt. Magufuli amewataka wananchi wa Makambako wamchague Mgombea Ubunge wa CCM Jah people kwa sababu kwenye ubunge hatuchagui degree bali mtu.
Dkt. Magufuli amesema Jah people salamu yake ni Kidumu chama cha mapinduzi hivyo wakimleta bungeni wataelewana ila wakimleta yule anayesalimia kwa alama ya manati sitawaelewa.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!