Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Mkinichagua nitaongeza mshahara wafanyakazi

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Mkinichagua nitaongeza mshahara wafanyakazi

Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.

Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?

Lies: The Tool of Tyrants and Dictators (Part 1)

Growing up in the 70’s and 80’s, I remember watching TV and seeing two-bit dictators of banana republics, surrounded by sycophants, lying blatantly and openly while everyone around him nodded in silent agreement. The thing that stood out about those lies was that they were obvious lies. Easy disproved. Exaggerations to the point of absurdity. Lies about the big and lies about the small. But there he stood proclaiming this “truth” as though the mere proclamation would make the statements true.
 
1603629353414.png
 
Akamdanganye Bashiru huku.
1.Sipangiwi nilichukua mwenyewe fomu
2.Siongezi mshahara hadi nimalize miradi mikubwa
3.Huwez kununua ndege halafu ukaongeza mshahara
4.Mshahara tutaongeza kimya kimya ukiongeza kwa kutangaza kutatokea inflation
5.Siwezi kuongeza mshahara bado tunafanya uhakiki wa vyeti feki.
6.Hata mimi mshahara haunitoshi ,mnapenda kuongezewa ongezewa mtaongezewa hadi wanawake
 
Asante Rais Magufuli hata usipoongeza sisi tunaradhika na tunachopata

Tunajua Nchi ipo kwenye ujenzi wa miradi ya kimkakati wa kiuchumi
 
Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.

Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
Wanatapeliwa hapa watu muda si mrefu. Jichanganyeni muone.
 
Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.

Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
Kuna shida mahali...sio bure
 
Back
Top Bottom